Ccm wamefimefikia kiwango cha mwisho kufikiri. Matatizo ni mengi yanayo wakabili watu. Wameamua kuwaaminisha watu kuwa kila jambo jema ktk nchi hii likifanyika ujue kuwa ni rais kalifanya. Ila likitokea jambo baya rais hausuki huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge.Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake ai chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.
Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.
Haya Mabango nchi mzima haya maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile? Kuna deal za watu tuu lazima
#Watuwemawamefiwa
Kibwaguzo cha mwisho kiko murua kabisaUkweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake ai chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.
Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.
Haya Mabango nchi mzima haya maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile? Kuna deal za watu tuu lazima
#Watuwemawamefiwa
nimependa hiiCcm wamefimefikia kiwango cha mwisho kufikiri. Matatizo ni mengi yanayo wakabili watu. Wameamua kuwaaminisha watu kuwa kila jambo jema ktk nchi hii likifanyika ujue kuwa ni rais kalifanya. Ila likitokea jambo baya rais hausuki huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge.
jambo hili linaniumizaga saana Mimi unakuta huna mtaji hata wa 20m. ila unakutana mamibango. nchi nzimaUkweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake ai chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.
Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.
Haya Mabango nchi mzima haya maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile? Kuna deal za watu tuu lazima
#Watuwemawamefiwa
Yaani..hii ni deal la watu kupiga pesa.jambo hili linaniumizaga saana Mimi unakuta huna mtaji hata wa 20m. ila unakutana mamibango. nchi nzima
mfano. tuna halimashauri 138 Kila halimashauri Bango 500
maana yake. 238x500= 69000
chukua bango 69000x1000000=69000000000
bilioni 690 yaani zinaweza kulipa bima ya afya nchi nzima. na kujenga maisha yawatu kuwa rahisi. badala yakuweka tozo unapunguza mzigo Kwa watu tupaze sauti tuwakabili wahuni walanchi.
Morogoro road kuna mabango zaidi ya 20… nilijiuliza yamewekwa usiku wa tarehe 30/4/23 au lini? kuna moja lilisema “ameongeza salary kwa wafanya kazi”Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake si chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.
Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.
Haya Mabango nchi mzima hayana maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile?. Tumieni tovuti ya CCM. Kuna deal za watu tuu lazima
#Watuwemawamefiwa
Dahhh!!Hii nchi tajiri sana au basi.jambo hili linaniumizaga saana Mimi unakuta huna mtaji hata wa 20m. ila unakutana mamibango. nchi nzima
mfano. tuna halimashauri 138 Kila halimashauri Bango 500
maana yake. 238x500= 69000
chukua bango 69000x1000000=69000000000
bilioni 690 yaani zinaweza kulipa bima ya afya nchi nzima. na kujenga maisha yawatu kuwa rahisi. badala yakuweka tozo unapunguza mzigo Kwa watu tupaze sauti tuwakabili wahuni walanchi.
Hayo Mabollion yalitoka wapi na nani ameyapitisha . Nasikia bango moja linagharim 5m= sasa wakitengeneza 100 tuUkweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri mara Dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa.. bango Moja Bei yake si chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.
Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani afu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu .. eti wamepatana - nonsense.
Haya Mabango nchi mzima hayana maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile?. Tumieni tovuti ya CCM. Kuna deal za watu tuu lazima
#Watuwemawamefiwa
Utasikia mawziri hawamsaidii raisCcm wamefimefikia kiwango cha mwisho kufikiri. Matatizo ni mengi yanayo wakabili watu. Wameamua kuwaaminisha watu kuwa kila jambo jema ktk nchi hii likifanyika ujue kuwa ni rais kalifanya. Ila likitokea jambo baya rais hausuki huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge.
Huko ndo ccm wanakotajirikia .halafu akitokea mtu akatoa huu ujinga KAMA jpm wanasarfocate kwa kuwa hawawezi kuishi kwa jasho Laojambo hili linaniumizaga saana Mimi unakuta huna mtaji hata wa 20m. ila unakutana mamibango. nchi nzima
mfano. tuna halimashauri 138 Kila halimashauri Bango 500
maana yake. 238x500= 69000
chukua bango 69000x1000000=69000000000
bilioni 690 yaani zinaweza kulipa bima ya afya nchi nzima. na kujenga maisha yawatu kuwa rahisi. badala yakuweka tozo unapunguza mzigo Kwa watu tupaze sauti tuwakabili wahuni walanchi.
Sijajua huko rondokwani siku za maombolezo zimeisha?