Ifahamu Sara Bora kabisa duniani

Ifahamu Sara Bora kabisa duniani

Hiyo ni salamu ya kumsalimia Mariam, hivyo, kwa mudhumuni ya salamu uko sawa. Kuhusu sala, hiyo siyo sala. Hata maandiko uliyoyanukuu ni maneno yaliyotumika kumsalimia Mariam na kumpa habari ya mambo yatakayo mtokea. Karibu kwa hoja zisizo na fujo.
 
Hayo mambo ya sala ni uongo mtupu tuachane nayo hayatakusaidia zaidi ya kudumaza na kufifisha fikra zetu.

Tujitume, tufanye kazi kwa bidii na weledi, tuwe na nidhamu na tukomae mpaka kieleweke. Wachina hawana hayo mambo ya salamu Maria ila angalia uchumi wao upo wapi Leo.

Tuamkeni wote.
Nani kakuambia usifanye kazi kwa bidii?
 
Hiyo ni salamu ya kumsalimia Mariam, hivyo, kwa mudhumuni ya salamu uko sawa. Kuhusu sala, hiyo siyo sala. Hata maandiko uliyoyanukuu ni maneno yaliyotumika kumsalimia Mariam na kumpa habari ya mambo yatakayo mtokea. Karibu kwa hoja zisizo na fujo.
Ni sala Kwa wakatoliki
 
SALA bora kabisa duniani ndiyo hiyo:

Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.

Karibuni tujifunze pamoja

NB: Soma pia kwenye Biblia takatifu kitabu cha Luka 1:28 na kuendelea

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Luka 1:28

29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Luka 1:29

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Luka 1:30

42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Luka 1:42

48 Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
Luka 1:48
Usitutafutie ban ewe mwabudu sanamu.

Yesu alishaagiza ni sala ipi tuitumie, na siyo huyo bikira ambaye hata baada ya kuzaa watoto sita mnaendelea kung'ang'ania kuwa ni bikra.

Kapimwe akili
 
Mimi tayari nishapimwa akili na nimenukuu maandiko nadhani wewe ndiyo unatakiwa kupimwa akili kwa kutojua kuwa hayo yaloandikwa yametoka kwenye Biblia
 
mwanzo wa andiko lako umemtaja maria mama wa mungu alafu comment yako #12 point ya 30 ukasema maria kapokea neema kwa mungu.! nikaona upumbavu tu maana hata ww hujui umeandika nini ujinga mtupu tu.!
Luka 1:41 - 45 juu kuwa Mama wa Mungu(mama wa Beana wangu). Soma luka 1:43...hayo maneno aliyatamka Elizabeth akiwa amejazwa na Roho Mtakatifu.. Soma kuanzia Luka 1:39-40.
Yesu ni Mungu na mama yake ni???? Nani.. Mariam.

Huu sio mjadala wangu ila nilikuwa nachangia hapo palipohitaji ufafanuzi.
 
Mimi tayari nishapimwa akili na nimenukuu maandiko nadhani wewe ndiyo unatakiwa kupimwa akili kwa kutojua kuwa hayo yaloandikwa yametoka kwenye Biblia
Luka 11:2 Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.].......

Mathayo 6:9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,.......

Umeona hilo agizo kwenye andiko?
Wapi Mungu ametoa maelekezo kusali kumuomba sanamu?
 
SALA bora kabisa duniani ndiyo hiyo:

Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.

Karibuni tujifunze pamoja

NB: Soma pia kwenye Biblia takatifu kitabu cha Luka 1:28 na kuendelea

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Luka 1:28

29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Luka 1:29

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Luka 1:30

42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Luka 1:42

48 Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
Luka 1:48
Ungeongezea na baba yetu.....hizo 2 ni silaha kubwa hasa kwa mkatoliki
 
Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina]
Hii ndiosala bora kuliko zote na ndio maana alisema kuwa mkitaka kusali semeni hivyo
 
Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina]
amina amina, hii ndio sala bora sasa duniani
 
SALA bora kabisa duniani ndiyo hiyo:

Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.

Karibuni tujifunze pamoja

NB: Soma pia kwenye Biblia takatifu kitabu cha Luka 1:28 na kuendelea

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Luka 1:28

29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Luka 1:29

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Luka 1:30

42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Luka 1:42

48 Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
Luka 1:48
sala namba moja ni baba yetu
 
Vichaa wa roman catholic na sala zao za kipagani nao wako humu sa hiyo sala inaweza fukuza majini au mapepo au wachawi..
 
unawasingizia tu mkuu. roman sio vichaa wala sio sala ya kipagani. wameitoa kwenye biblia hiyohiyo unayoitumia
 
Kina Jenister ni wengi sana Tanzania, ihalalishwe tu kuwa R na L zitumike popote na kwa hali yoyote tu.
 
Back
Top Bottom