Ifahamu Sara Bora kabisa duniani

Ifahamu Sara Bora kabisa duniani

unawasingizia tu mkuu. roman sio vichaa wala sio sala ya kipagani. wameitoa kwenye biblia hiyohiyo unayoitumia
Maria mtakatifu mama wa Mungu
Utuombee sisi wakosefu...

Swali...Je ni nani alimpa utakatifu Maria. Pili ni nani alimpa maria mamlaka ya kuombea wakosefu..... Lete Kwa ushahidi wa maandiko ndani ya Biblia.
 
Vichaa na bado Biblia yao mnaitumia!?
Biblia SI Mali Mali ya wakatoliki na ndo maana hasta wao hawana muda nayo wamejitengenezea misale
Mambo ya kwenye Biblia hawana muda nayo na yanapingana na taratibu zao
Fatilia history ya vitabu vilivyoko kwenye Biblia na history ya ukristo uone kama hao warumi Wana Chao huyo Muhammad mwnyw aliukuta ukristo sembuse hao warumi na papa wao.
 
Mohamed aliukuta Ukatoliki
 
Ni Mali yao na wao ndiyo waliokusanya Vitabu au maandiko mbalimbali, kuyapitia na kuyachambua na kisha kuamua yapi yatumike na yapi yasitumike.

Ni wakatoliki walioamua Idadi ya sura ngapi ziwepo ndani ya kila kitabu, kitabu gani kitangulie kwenye mpangilio, kitabu gani hakifai kutumika na kisha wakaviweka pamoja na kuita Biblia ambayo wewe na Wachungaji wako mnaitumia sasa

Hakuna Biblia au Ukiristo bila Katoliki
 
Nawauliza
Huyo Maria ndio nani ?
Ambaye Sanamu zake zimetamalaki Makanisani na nje yake?
Hamwoni kuwa mnaabudu miungu wengine?
'''''''''''''''''
Maana Mama wa Yesu haitwi Maria.

Luka 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

Naomba jibu
Huyo Maria ndio Nani ?

Hamwoni kuwa mnakiomba kiumbe kisicho fahamika ?
Fungueni akili zenu
 
Maria ni nani ?
Sijawàhi kujibiwa hili swali.
Nimepitia Agano la Kale na Agano Jipya sijaliona jina la Maria.
Halafu anaitwa Mama wa Mungu.
Hii ni kufuru dhahiri kabisa
 
Back
Top Bottom