Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Vp experience ya rush hour, vyakula vya kijapani (mf. Sushi, sahimi, okonomiaki, natto n.k) na phobia yao kwa watu weusi?!

Pia ni vyema kuwajuza kuhusu maslai yanayotoka na kufanya kazi kwenye nchi tajiri kama Japan.

Hongera sana kwa kuacha damu yako, binti atakuwa alikutunuku nijuavyo ni aghalabu kwa binti wa kijapani kizaa nawatu weusi!!
Huu utamaduni wa rush hour nimeshuhudia mara nyingi ukifanyika japo sikutaka kufatilia kiundani binafsi kwanza ulikuwa unaniboa sana, ukifanyika unafanyika mara 2 kwa siku asubuhi na jioni barabara zinafungwa, safari zote zinasimama mpaka wamalize na Kama uko kazini inakubidi uwahi kutoka kabla hawajaanza, kwenye vyakula vyao sikuwa muumini sana Kuna migahama kwa ajili ya vyakula vya kiafrica nilikuwa nakula huko.

Japan haiilipi mishahara mikubwa ukilinganisha na nchi za ulaya labda Kama umeajiriwa na kampuni ya kimataifa nje ya Japan na ukapelekwa pale kufanya kazi tu Mfano:
Kwa mtu asiye na ujuzi yaani kibarua kwa japani unalipwa 1300Yen mpaka 3000Yen kwa saa na masaa ya kufanya kazi inategemea na nguvu zako

Kwa wenye ujuzi wanalipwa vizuri sana zaidi ya 8.28 mill. Yen na miongoni mwa kada zinazolipwa vizuri sana nchini Japan ni walimu wa kiingereza

Kuhusu suala la MAHUSIANO nadhani wajapan mnawachukulia tofauti tu ni Kama Tanzania wapo wenye majivuno na wapo walio wasio na majivuno na tangu niishi Japan sijawahi kuhisi nabaguliwa
 
katika moja ya kitu kinachonivutia kuhusu wajapani ni vyakula vyao.

huwa nafatilia sana videos zinazozungumzia vyakula vya kijapani toka kwa vloggers mbalimbali kule youtube. wajapan wanakula sana seafood na vyakula vya kiasili hususani vegetables.

utaratibu wao wa kupika ni ule wa kuchemsha badala ya kukangaa rosti kama tunavyopendelea sisi wabantu. jambo lingine katika mapishi yao, huwa hawapendi chakula kiive sana.
 
katika moja ya kitu kinachonivutia kuhusu wajapani ni vyakula vyao.

huwa nafatilia sana videos zinazozungumzia vyakula vya kijapani toka kwa vloggers mbalimbali kule youtube. wajapan wanakula sana seafood na vyakula vya kiasili hususani vegetables.

utaratibu wao wa kupika ni ule wa kuchemsha badala ya kukangaa rosti kama tunavyopendelea sisi wabantu. jambo lingine katika mapishi yao, huwa hawapendi chakula kiive sana.

Kweli mkuu, huyo samaki Mimi alinishinda kabisa
 
Ha ha haa, vzr sana mkuu. Kumbe ulikuwa unafika Iwakuni! Hapo Iwakuni kuna 'small military base' ya wamarekani. Kwaiyo ni sehemu flani ambayo kuna interaction kubwa na foreigners hasa wamarekani. Mimi niko bongo kwa sasa, mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo MAPENZI ya ki-brazil yalinifanya route za hapo zisikatike😄😄, ilikuaje kuwaje mpaka ukarudi? Ama ulirudi kuwekeza?
 
Mkuu, nimerudi mazima. Sina plan yeyote ya kurudi kule labda itokee tu.... Nilikaa kule miaka 5 mpk nikawa nakiongea kijapani ila kwa sasa baadhi ya vocabulary zinapotea.
Ndiyo MAPENZI ya ki-brazil yalinifanya route za hapo zisikatike, ilikuaje kuwaje mpaka ukarudi? Ama ulirudi kuwekeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuuliza google ni tofauti na kumuuliza mtu aliyeishi huko, we jibu maswali kwa mfano majibu yako yawe labda wali plate 1 dola 70 au yen 46 ili tuelewe vizur au bei ya samaki kilo 1 dola 30

Sent using Jamii Forums mobile app
Capturedbg.PNG
 
Mkuu kuna nyuzi zako nimeona umeandika kuhusu maswala ya kutaka kujitoa TUGHE,Na nyingine umeandika kwamba last year(2019) ulikua umefikisha miaka sita toka uoe na mwanamke uliemuoa ulikutana nae ukiwa unatoka field baada ya kumaliza chuo.Na hiyo field ulifanyia mgodini hapa hapa bongo?


Sijui imekaaje hiyo,??


Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hukuyaelewa zaidi yaleaandiko
 
Hiroshima hapo utalala na kujifunza historian ya hapo kesho yake safari tena ya masaa 3 mpaka 6 mapaka Nagasaki kupitia Fukuoka na Kitakyushu ni miji mizuri kwa sasa na inapendeza na shughuli za maisha huko zinaendelea Kama kawaida na mambo mengine yote yaliyopita yamebaki historia tu.
Mjep
 
Mkuu kuhusu kuch kuch, Hawa watu sio WAPENDA starehe sana za kujirusha lakini nikuambie hakuna mtu ambae hapendi sex so wanalika tu Kama binadamu wengine.

😃😃 Kuhusu kunyoa vuzi sio kweli mkuu Mimi sijawahi kukutana na hiki unachozungumza.

Kujinyonga? Sijui na sijwahi kusikia Wala kulifuatilia.

Ubaguzi hakuna mkuu na ni kweli ni watu wapole na wanyenyekevu Kama jirani zao wakorea kusini

Mkuu Japan sijawahi kukutana na ishu ya kubaguliwa, Mimi tu Kuna mda nilikuwa nakuwa nao mbali baada ya kuona hatuelewani kilugha natafuta mtu ambae tunaweza kuzungumza na kuelewana
Wanajinyoga sana mkuu, Japan ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza kwa watu kujiua kwa kujinyonga ama kujitoa muhanga wanajirusha sana kwenye matreni yanayooenda kasi (Shikansen)

Kuhusu ubaguzi upo sana inawezekana ukawa hujakutana nao sababu ya labda style ya maisha uliyokua unaishi lkn ukichangamana nao wanaubaguzi sana japo hawaonyeshi hadharani
 
Back
Top Bottom