econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,835
- 21,834
Acha masihala mkuu,wewe unaweza Jenga majengo sehemu ambayo haina biashara kwa hoja yako unamaanisha Kigoma?
Mkoa wa Kigoma una Kasulu na Kigoma Mjini usisahau Hilo Ni Miji mikubwa hiyo ,Rukwa na Katavi Ni hapo Mjini tuu Yaani Sumbawanga na Mpanda.
Kwa mfano Kuna mji unaitwa inyonga upo ndani ya pori kubwa Sana . Ila kwa Sasa umeunganishwa na lami hivyo utaanza kukua.