Ifahamu idara ya usalama wa Taifa - TISS

Ifahamu idara ya usalama wa Taifa - TISS

Tatizo linatumika vibaya!! Lengo ni kutuweka salama lakini sasa linatumika kutisha usalama wa wananchi.

Haswaa ,unapokuwa ni Hatari kwa Wananchi wako dhana nzima ya kuaminika tena haipo.

Ni kwa nini inatumika vibaya na ni kwa namna gani inawezekana kutumika vibaya na Watawala ndio la Msingi zaidi.
 
Ifahamu TISS

Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi,

Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao,

Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara kuingilia uhuru wa watu

Na vile vile inaeleza wazi wasiingilie uhuru wa watu kwenye masuala ya kisiasa, au matamshi yao kisiasa

Na muhimu zaidi iko chini ya ofisi ya Rais, Ndio hapa tunapoona vigugumizi vya wizara husika,

Kwa kweli sina muda wa kutosha kutafsiri lakini naomba wachangiaji waweze kututafsiria zaidi,

Na malalamiko yetu wananchi yafikishwe wapi, kipengele hicho sikioni, lakini bunge likae juu ya kufanya marekebisho MAKUBWA juu ya hichi chombo

7b1f9e7b3def96039ce3767bc93ad511.jpg
fc0137917af94bffcf8c99014e0a38a6.jpg
106752939dd5d65635e868bd5bddd142.jpg
66c4c3e5a8ba2cf86d91bff79ad13517.jpg




http://www.vertic.org/media/National Legislation/Tanzania/TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
Usalama wa taifa letu la Tanzania na ustawi wake ni jukumu la kila mwananchi na unaanza na wewe. Timiza wajibu wako ipasavyo.
 
Kuna katabia ambacho sikapendi hasa pale hawa Jamaa wanapokutana na Polisi utasikia "wewe POLISI hapa msafara utapinda kulia" Hawana adabu kabisa na wanadharau sana.....!!!
 
Zamani idara hii bila
Division 1 au 2 huendi ila kwa yamejazwa matoto ya wana CCM yaliyofeli yakaenda JKT et nayo usalama...sio hata maitelejens.
 
Kuna katabia ambacho sikapendi hasa pale hawa Jamaa wanapokutana na Polisi utasikia "wewe POLISI hapa msafara utapinda kulia" Hawana adabu kabisa na wanadharau sana.....!!!
Kwa hiyo hautaki kuitwa polisi??
 
Zamani ili kuwa kuwaona ama kusikia wakitajwatajwa ili kuwa ngumu zaidi sana waliogopeka na kuheshimika sana,,,walikuwa kama wajinga lakini makina Sana ata bar walikuwa hawajisemisemi wao kina nani
Mbona hata CIA FBI au FSB wanatajwa tajwa sana aiku hizi mpaka unyeti wa vyombo vya ushushu haupo ten sembuse TISS.
 
Idara ya usalama wa CCM wewe unaita ni idara ya usalama wa Taifa?Wewe ni kichaa?
 
Back
Top Bottom