Ifahamu Dodoma

Hapo kwenye vibaka ni kwel kabisa hasa maili mbili na chang'ombe hatari sana
Ni mitaa ambayo unapopita huna uhakika kama ni barabara inaenda kutokezea upande wa pili au inaelekea Nyumba ya Mtu.
 
Maeneo gani ni mazuri ya biashara mfano car wash??

Njia ya kuelekea Dar, Singida na Kondoa maana zima magari mengi.

Njia ya Dar kabla ya KABLA ya Sheli ya Kisasa.

Njia ya Kondoa KABLA ya Mipango

Njia ya Singida KABLA ya Four ways na Maeneo ya Nkuhungu KABLA au pale Kanisa LA Roma panafaa.
 
Thank uu very much
 
safari ya dodoma;nimemkumbuka tu Marine Hassan marine
 
uliko toka kukoje? kuna hoja zinaongelewa utafikiri huyu mtu hajaishi mjini?
si kweli changamoto ni za kawaida sana hazizidi za dar nipo huu mji mwaka wa 11 sasa na maisha yanaenda.
mji ni mchafu lakini huwezi kulinganisha na dar au mwanza kwa kuwa hata population sio kubwa
 
Yeah, tena saa nane usiku kwa mguu toka Malaika mpaka majengo mapya
Ha ha haaa.... Ulikuwa unafuata barabara kama gari.

Ingia ndani ya Mtaa uone.
 
Ha ha haaa.... Ulikuwa unafuata barabara kama gari.

Ingia ndani ya Mtaa uone.
Hapana, naona wewe hupajui aisee, njia ni moja, unapita rainbow unaingia mabasi mawili mpaka unatokezea shule ya msingi Ipagala, unapita uwanjani kisha humble house na unatokezea majengo mapya, hivyo ni boda to boda , hata saa nane usiku hakuna noma kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…