#COVID19 Ifahamu chanjo ya Johnson & Johnson

Coach Slamah Hamad

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
1,916
2,000
Hii ni miongoni mwa chanjo zilizo idhinishwa kwaajili ya kukabiliana na madhara ya covid 19.

JINA; JNJ-78436735
WAZALISHAJI: Jansen Pharmaceuticals Companies of Johnson and Johnson

Aina ya chanjo: Viral vector
Full list of ingredients / list ya viungo vilivyotumika hivi vimewekwa katika makundi mawili , ambavyo ni active ingredients/ viungo hai na inactive ingredients / visivyo hai/tuli

Tuanze kundi la kwanza la ingredients

  • Recombinant, replication-incompetent Ad26 vector
  • encoding a stabilized variant of the SARS-COV-2 spikes protein

kundi la pili ni, Pilysorbate-80, 2-hydroxypropyl, cyclodextrin, citric acid monohydrate, trisodium citrate dihydeate, sodium chloride na Ethanol.

Viral vector ninini? tunaweza kusema ni vitu vitumikavyo katika katika molekula -biolojia ambavyo hutoa ghafi za vinasaba kwenda kwenye seli.
VIRAL VECTOR VACCINE ni kitu gani? Ni kundi la chanjo ambalo hutumia virusi vilivyo shushwa hadhi(modified version of a different virus)

viral vector covid -19 vaccines, chanjo hii imetumia matoleo tofauti tofauti ya virusi vilivyoshushwa hadhi (modified) ili kutoa maelekezo muhimu kwenye seli. Faida za chanjo za kundi hili ni kuwa aliyechanjwa hata weza kupata madhara makubwa ya ugonjwa wa covid-19 baada ya kuchanjwa

How it works?
Viral vector vaccine use a modified version of differents virus(the vector) to deliver important information to our cell.
  • The vector (not virus cause covid-19, but a different harmless virus) will enter a cell machinery to produce a harmless piece of the virus that cause Covid -19, this piece is known as a spike protein and its only found on the surfsce of the virus that cause COVID -19.
  • Next, the cell display the spike protein on its surface and our immune system recognized if does belong there. this trigger our immune system to begin producing antibodies and activating other immune cell to fight off what it thinks is an infection.
-At the end process our bodies have learned how to protect us against future infections with the virus that cause Covid -19.

Kwa ufupi ni kuwa J&J ni miongoni mwa chanjo zilizotengenezwa kwa virusi dhaifu, ambavyo havina madhara mfano hapo tumeona matumizi ya SARS-2, lakini vinavyofanan na vile vya covid -19 ambapo virus hivi dhaifu vinapowekwa kwenye seli hutumia mitambo seli kuzalisha virusi vya COVID-19 visivyo na madhara ambavyo huchukuliwa kuwa ni spike protein na huchukua mahali pale ambapo virusi vya hatari vya corona hukaa baada ya hapo husababisha mfumo wa immune kuanza kuzalisha antibodi na kushtua seli za immune kuanza kupigana na hiki kinachodhaniwa kuwa ni maambukizi, na baada ya hapo mwili hujifunza kukabiliana na maambukizi yanayosababishwa na Covid 19, ile active sasa.

FACTS
  • VACCINE kama J&J haiwezi kukusababishia virusi vya covid -19
  • Haiwezi kuingiliana na mifumo ya DNA

Inapendekezwa kutumiwa na watu wenye umri 18+

SIDE EFFECT KWA UJUMLA
Kwenye eneo unapochomwa, maumivu, pekundu, uvimbe
PAIN, REDNESS, SWELLING

Mwilini - mchoko, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, ubarid, homa , kichefu chefu
Tiredness, HEADACHE, MUSCLE PPAIN, chills, fever &nausea
nb. ATHARI HIZI SIO LAZIMA NA ZINAPOJITOKEZA KWA MUDA WA ZAIDI YA SAA 24 UNASHAURIWA KUMWONA DAKTARI.

TAARIFA ZA CLINIC YA MAJARIBIO YA CHANJO YA JOHNSON AND JOHNSON
chanjo hii ilionesha ufanisi wa asilimia 66.3 katika maabara za utafiti na ilionesha uwezo mkubwa katika kukabliana na ugonjwa huu.

Clinical Demographic information
Utafiti ulihusisha racial, etnic, age na sex catogories
- 62% White
-17% black or African Amercan
-8% Amerca indian or Alaska natives
-5% multiple race
-4% Asia
-0.3% Native hawaiian or other pacific Islander

Ethnicity
  • 45% Hispanic or latino
  • 52% non Hispanic or latino
  • 3% unknown

SEX
56% MALE
45% FEMALE
0.1% UNKNOWN SEX
Age breckdown, 67% 18_59 yrs
34% 60+
20% 65 yrs and +, 4%, 75 yrs

CHANZO KIKUU CHA TAARIFA KATIKA MAKALA HII NI CDC, centers for Disease conrol and prevention na maandiko mengineyoHuyo “white” ni race gani? Could you be more specific pls.

White as I know it ni nyeupe, I don’t believe kama kuna mwanaAdam Ana rangi Nyeupe (we all know color white!)
 

MASSHELE

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
539
1,000
emerg
Sawa, hizo chanjo zimeidhinishwa kwa dharura, na ambazo hazijaidhinishwa kwa dharura tofauti yake ni nin
uidhinishaji wa dharura kwa dawa au chanjo hutokea pale ambapo matibabu hayo huitajika kwa haraka kwa lengo la kuokoa uhai uliopo hatari. kikawaida kuna mamla za uidhinishaji ambazo watengenezaji wa chanjo au dawa hutakiwa kutuma maombi na process nyingine kama hizo za kimamlaka, lakini kutokana na pengine uhitajikaji wa haraka wa hiyo dawa au chanjo inabidi mamla hizo za kiuidhinishaji kuharakisha mchakato/ kibali cha dharura
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,847
2,000
emerg

uidhinishaji wa dharura kwa dawa au chanjo hutokea pale ambapo matibabu hayo huitajika kwa haraka kwa lengo la kuokoa uhai uliopo hatari. kikawaida kuna mamla za uidhinishaji ambazo watengenezaji wa chanjo au dawa hutakiwa kutuma maombi na process nyingine kama hizo za kimamlaka, lakini kutokana na pengine uhitajikaji wa haraka wa hiyo dawa au chanjo inabidi mamla hizo za kiuidhinishaji kuharakisha mchakato/ kibali cha dharura
Ni hatua zipi ambazo hii chanjo imeziruka (haikuzipitia kama ilivyopaswa) ili kuidhinishwa kwa haraka?
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,392
2,000
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom