millerson
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 606
- 1,657
sema tu kwamba kichwa chako kibovuWewe taahira soma thread uelewe vizuri shenzi kabisa yaani huoni?
kwanza hakuna kitu kitamu kama hiko
sema tu kwamba kichwa chako kibovuWewe taahira soma thread uelewe vizuri shenzi kabisa yaani huoni?
Hili jamaa punga_chele hahahahaAlafu eti anavuta lile stick zima kama alivyouziwa bila kuchambua, utaacha kuwa chizi?

lazima awe hivi alivyo sio bure! Ni kumuonea huruma tu, hamna namna! 

Kaangalie nyuzi ulizo anzisha! Fuatilia comment to commentHaya bwana

utajicheka sana! Pia angalia uzi huu watu walivyo kumezesha data taka usitake 

na ndio uzi pekee kati ya ulizo anzisha iliyo vuka comment zaidi ya 50! 
Upo pabaya sana! Ila ni kwasababu ulikua ukinunua stick unaivuta kama SIGARSafi umeuliza swali zuri hizo dawa hazina side effects, kiufupi ni nzuri mno na zimenisaidia kupunguza hallucinations na bado nazitumia mpaka dokta atakaporidhika na maendeleo yangu

Lazima bangi iwe mbayaAnzia mwanzo kabisa wa huu uzi kisha uangalie ni nani alianza kumtukana mwenzakeMatusi hayajengi hasa kwa mtu kama wewe huna hoja unatukana tu humu ndani na kukebehi upuuzi wako mwenyewe.Jipange ndio uongee.

bangi inapoteza kumbukumbu
ulikua hujui

ila wewe imekuondoa mpaka kichwa chenyewe

Mmemlisha upupu hatariWe umedata... Ulijua bange ni kama maji Kila mtu aweza kunywa... Ona Sasa umevuta imekudatisha(kichwa panzi). Ukichaa wako unajithibitisha pale unapotaka kuiadaa jamii kwamba bange ni kitu pekee chenye madhara.... Sikatai bange umevuta ila imekudatisha( u have abused the drug)

Aisee, we umetokea cha wapi mkuu? Ni uliambiwa au umeshuhudia ww (experiance) mwenyewe? We ulivuta ipi? Ni hayo tu.Habari wapendwa,
Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.
Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona sauti na vitu ambavyo in real world havina uhalisia.
Bangi pia husababisha kumbukumbu kupotea, kansa ya mapafu na viuongo kukakamaa. Kwa mataifa makubwa kama Marekani katika jimbo la California wameruhusu matumizi ya mmea huu hatari, lakini athari zake zimekua ni siri ya watumiaji, huku drug lords wakiogopwa kutajwa kwa watu kuhofia kuuawa.
Bangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.
Bangi ni hatari mno, inatia huruma kuona jinsi wasanii wa Bongo Fleva wanavyoisapoti katika video zao na wengine kudiriki kuisifia kabisa kitu ambacho ni kosa kubwa mno.
Serikali na jeshi la polisi viingilie kati suala hili ili kukilinda kizazi hichi cha watoto wasio na uelewa wowote juu ya bangi na madhara yake.
Asanteni nakaribisha maswali.
Mkuu, kwa majibu haya ni wazi ganja ilikutendaMjinga mkubwa wewe tangu lini bangi ikawa chanzo cha kufanyia ibada, yaani hizo dini zenu za mtaani(rastafarians) ndio unaitumia kama hoja?Punguani mkubwa wewe lete fact sio ujinga wa dini za wahuni kama kina Bob Marley za uvutaji wa sumu mwilini.
Wewe mchaga una matatizo makubwa mno ya akili.Unahitaji tiba ya haraka.Huyo mwenye nywele nyingi na amekenua mimeno ni wapenzi wachangiaji wenye comments zaohako kaliko lala hapo chini ni mwenye mada yake ya bangi
wanamuelimisha
Kikao kimeishia hapaView attachment 2573319
Mwanaume gani upo emotional kama demu?!Wewe ni taahira kabisa na unavyoendelea kupost na kureply huu uzi unaendelea kuthibitisha kiasi gani una hasira za kijinga.Mimi ni mwanaume tena dume la mbegu.
Wewe mchaga una matatizo makubwa mno ya akili.Unahitaji tiba ya haraka.

Mbna hujatja madhar mm niliifuta Mara ya mwisho 2003 mkp leo inafany kazi vzr snaaaHabari wapendwa,
Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.
Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona sauti na vitu ambavyo in real world havina uhalisia.
Bangi pia husababisha kumbukumbu kupotea, kansa ya mapafu na viuongo kukakamaa. Kwa mataifa makubwa kama Marekani katika jimbo la California wameruhusu matumizi ya mmea huu hatari, lakini athari zake zimekua ni siri ya watumiaji, huku drug lords wakiogopwa kutajwa kwa watu kuhofia kuuawa.
Bangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.
Bangi ni hatari mno, inatia huruma kuona jinsi wasanii wa Bongo Fleva wanavyoisapoti katika video zao na wengine kudiriki kuisifia kabisa kitu ambacho ni kosa kubwa mno.
Serikali na jeshi la polisi viingilie kati suala hili ili kukilinda kizazi hichi cha watoto wasio na uelewa wowote juu ya bangi na madhara yake.
Asanteni nakaribisha maswali.
Soma vizuri thread madhara nimeyataja.Kama vile mwili kukakamaa,kuozesha mapafu taratibu(kansa),kupoteza kumbukumbu na hallucinations ile hali ya kusikia sauti na kuona vitu ambavyo in real world havipo.Mbna hujatja madhar mm niliifuta Mara ya mwisho 2003 mkp leo inafany kazi vzr snaaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app