ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,490
Naja kukunong'oneza piemuLabeka.... kuna kitu unataka kuninong'oneza?
Naja kukunong'oneza piemuLabeka.... kuna kitu unataka kuninong'oneza?
Inakuja, inakataa..Thats indeed emotionaly speaking, mapenzi hayana kipimo ukipenda umependa tu. Thats point Blank!
You will only realize that your are in deep love when something goes wrong with your spouse aidha aanze mizinguo au apatwe na janga!
Asante kwa kunilewa mbabaHii kitu anaweza fanya mtu ambaye kashaumizwa tayar na mapenzi! Kama hujapigwa mkuki wa moyo huwez ku pretend! Kupretend wanafanyaga ma LEGEND peke yao na hawatesekag tena na mapenz!! Af kuna tofauti kati ya ku pretend na kufake feelings! Mtu anayepretend anajua kitu anafanya ila ukiwa una fake feelings unakuwa hufurahii kile unachokifanya!! Me mtoa mada nimemuelewa sana[emoji110][emoji110]