If you want to enjoy love, fake it..

If you want to enjoy love, fake it..

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
I have come to an agreement with this thought.

Let me explain.

Kwanza kabisa I am not talking about sex. I am talking about love as it is - Love. Not love making. LOVE as Love.

Tunaumizwa sana kwa kutumia hisia za kweli kwa tunaowapenda. Mapenzi yalivyo, unaweza kuumia kwa wivu na mashaka tu, siyo lazima hadi utendwe.

Mapenzi yanauma. Hisia zinapenda ukamilifu. Zinataka kila kitu kiende vile zenyewe zinataka. Kikienda tofauti kidogo tu, zinaumia. Zinatesa. Zinanyanyasa.

Awe mke au mume. Mchumba au mpenzi tu. Kama unampenda kweli, lazima kuna 'mateso' fulani utakuwa unayapitia. Utumwa wa kuwaza na kuwazua.

Fake feelings haziumi. Wale vijana wasio serious na mahusiano huwa na amani. SIo kwamba hawafurahii, wanafurahia ila hawapo serious tu. Hawawekezi hisia bali muonekano wake. Na hiyo inawaepusha na maumivu. Aidha kwa kujua au kutokujua.

Unaweza kumjali mwenza wako bila kumaanisha. Au ukamtumia ujumbe mzuri wa kumsifia kisha ukapotezea. Au ukampa zawadi na ukajifanya kama hamna lililotokea. Yaani, unaweza kufanya kila kitu bila ku-attach na feelings zozote na bado kikawa na impact. Utanusurika na mateso. Utaishi kwa amani.

Nasisitiza tena, siongelei SEX.
 
I have come to an agreement with this thought.

Let me explain.

Kwanza kabisa I am not talking about sex. I am talking about love as it is - Love. Not love making. LOVE as Love.

Tunaumizwa sana kwa kutumia hisia za kweli kwa tunaowapenda. Mapenzi yalivyo, unaweza kuumia kwa wivu na mashaka tu, siyo lazima hadi utendwe.

Mapenzi yanauma. Hisia zinapenda ukamilifu. Zinataka kila kitu kiende vile zenyewe zinataka. Kikienda tofauti kidogo tu, zinaumia. Zinatesa. Zinanyanyasa.
Explain in a nutshell. Umeongea porojo tu. Just go deep .

Sent using my Nokia Torch
 
We jifanye una feki.. Haya mambo hayana mbabe labda useme messi kwa mpira wa miguu..

Amini nakuambia utafeki na mwisho wa siku utazama mazima... Na hapo ndio mwazo wako wa kufa kifo cha mende... Na mbinguni hutoingia
 
Huwezi kufake love ukawa happy hata kidogo ni lazima utapata ile feeling ya emptiness
Utakuwa unajiumiza tu na hujitendei haki

Kama unaona mapenzi yanaumiza bora uachane nayo ufanye mambo mengine
Unaweza na ina workout Jo. Ni kweli sio rahisi. Inahitaji uwe na high Emotional Intelligence. But inawezekana.

Usichoweza kabisa ni kuachana na mapenzi ukafanya mambo mengine.
 
Tunatofautiana basi
Mie kufake siwezi

Ila kuachana na mapenzi nikafanya mambo mengine naweza sana
Ku-fake vipi huwezi? Maana kuna tofauti hapa.

Simaanishi uoneshe mapenzi kwa mtu usiyempenda. Namaanisha usioneshe mapenzi kwa mtu unayempenda. Emotionally speaking.
 
Wats pain is not love its expectations that u have towards your partner that never exist...
Take it
Herieth%2020190301_080844.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kufake love ukawa happy hata kidogo ni lazima utapata ile feeling ya emptiness
Utakuwa unajiumiza tu na hujitendei haki
Kama unaona mapenzi yanaumiza bora uachane nayo ufanye mambo mengine

Hujaelewa somo mkuu...alichomaanisha mtoa mada sio totally faking,

Mimi nimemwelewa kwa kiwango flani,alichokua anamaanisha,mwonyeshe umpendae kuwa wampenda kwa kina kirefu,lakini usijiachie adi ukampenda adi kwakina icho
 
Ku-fake vipi huwezi? Maana kuna tofauti hapa.

Simaanishi uoneshe mapenzi kwa mtu usiyempenda. Namaanisha usioneshe mapenzi kwa mtu unayempenda. Emotionally speaking.

Kama ni hiyo naweza sana tu
Nilijua nioneshe kupenda hata kama sipendi
 
Hujaelewa somo mkuu...alichomaanisha mtoa mada sio totally faking,

Mimi nimemwelewa kwa kiwango flani,alichokua anamaanisha,mwonyeshe umpendae kuwa wampenda kwa kina kirefu,lakini usijiachie adi ukampenda adi kwakina icho
Yes. Umenipata mkuu.

Fake it for your own good. Na sio ufeki kwake, feki kwako. Jidanganye. It signifies maturity.
 
Back
Top Bottom