feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,776
It will never be equal one has to take risk to fall for the other so mind u....Love without expectations is the clean path
Safi sana. Umenielewa kwa 70%.Umeongea kitu cha kweli, na nataman watu wajue hili.
Kuunganisha Hisia na kila jambo kwa mwanamke wako ni bonge la tatizo kubwa sana... Kwa haraka hutoliona tatizo lkn siku akikuumiza kwa usalit au kukuacha, UTAJINYONGA TU.
Kwa ufupi msiwe serious , mimi binafsi sio kwamba ni Muhuni ,au sipendi .
Kupenda napenda, ila sizifanyi hisia zangu kumuabudu mtu...
Yaan ni kijana Ninayemuishi mwanamke kichwan nikiamin "Kukupenda nakupenda LAKINI bado naweza ishi bila wewe".
wee kama unamzawadia mzawadie chapa ilale, mpe chapa ilale, usiviunganishe ivi vitu na hisia za MATARAJIO YA KULIPWA SAWASAWA NA ULICHOMFANYIA MWANAMKE WAKO.
Haijawah niangusha,
The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
Hizo 30% zmienda wapii?Safi sana. Umenielewa kwa 70%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeziacha makusudi kwa sababu this topic is pregnant.Hizo 30% zmienda wapii?
Najua hili sio wazo rahisi kukubalika haraka haraka. Lakini trust me, linawezekana.Mmh utafanya yote hayo lakini baada ya muda utajikuta tu maumivu yameingia bila mwenyew kujijua ni lini. Labda usimpende kabisa, lakin ukifake jua kuna mwisho wake tu
Much better kuliko kuwa emotionally dependent on someone!Mkuu kudanganya hisia zko ni kitu almost to impossible. labda umpende ila usimuonyeshe kuwa unampenda saaaaaana ila sio fooling uaself.
Otherwise labda uwe humpendi.
Hivi wewe hata hujaitumikia vema PhD yako ya ubanguaji wa korosho kwa meno tayari ushaingia kwenye fani nyingine? Hii ripoti ya Prof Assad sio kila mtu anaweza kuijadili... Malizia kwanza lile zoezi la Masters of Kukabiliana na dogi lililotoroka. Kama ulikuwa hujui mbuzi wamekutangulia kupanda bombardier....Huwezi kufake love ukawa happy hata kidogo ni lazima utapata ile feeling ya emptiness
Utakuwa unajiumiza tu na hujitendei haki
Kama unaona mapenzi yanaumiza bora uachane nayo ufanye mambo mengine
😂😂😂Hivi wewe hata hujaitumikia vema PhD yako ya ubanguaji wa korosho kwa meno tayari ushaingia kwenye fani nyingine? Hii ripoti ya Prof Assad sio kila mtu anaweza kuijadili... Malizia kwanza lile zoezi la Masters of Kukabiliana na dogi lililotoroka. Kama ulikuwa hujui mbuzi wamekutangulia kupanda bombardier....
Nshakuacha kweli. Ushaanza kunishinda tabia ya elimu. Nlitaka nikupeleke kwenye kozi ya namna ya kupambana na nyoka... nimechemka... Elimu ya kuvuta bangi sirini utaisikia kwa mashosti zako nakuapia😂😂😂
Hebu niache we mzee
Tumia lugha ya Rais wetu we jamaa. Maendeleo hayana chamaLove and reasoning are sworn enemies
Please naomba uninyime elimu zote ila elimu ya bangi naiomba tafadhali babu yangu kipenzi 😣Nshakuacha kweli. Ushaanza kunishinda tabia ya elimu. Nlitaka nikupeleke kwenye kozi ya namna ya kupambana na nyoka... nimechemka... Elimu ya kuvuta bangi sirini utaisikia kwa mashosti zako nakuapia
Ongeza juhudi ya "kusubiri vizoee" ndo unitafute. Nimekasirika maana hata somo la kemia ya kuhalalisha gongo umekimbia homework....Please naomba uninyime elimu zote ila elimu ya bangi naiomba tafadhali babu yangu kipenzi 😣
Hii na apply sana, kama simpendi wala kumuonea wivu. Hata nikimkuta anaongea na mtu i dont care, but i love kimya kimyaI have come to an agreement with this thought.
Let me explain.
Kwanza kabisa I am not talking about sex. I am talking about love as it is - Love. Not love making. LOVE as Love.
Tunaumizwa sana kwa kutumia hisia za kweli kwa tunaowapenda. Mapenzi yalivyo, unaweza kuumia kwa wivu na mashaka tu, siyo lazima hadi utendwe.
Mapenzi yanauma. Hisia zinapenda ukamilifu. Zinataka kila kitu kiende vile zenyewe zinataka. Kikienda tofauti kidogo tu, zinaumia. Zinatesa. Zinanyanyasa.
Awe mke au mume. Mchumba au mpenzi tu. Kama unampenda kweli, lazima kuna 'mateso' fulani utakuwa unayapitia. Utumwa wa kuwaza na kuwazua.
Fake feelings haziumi. Wale vijana wasio serious na mahusiano huwa na amani. SIo kwamba hawafurahii, wanafurahia ila hawapo serious tu. Hawawekezi hisia bali muonekano wake. Na hiyo inawaepusha na maumivu. Aidha kwa kujua au kutokujua.
Unaweza kumjali mwenza wako bila kumaanisha. Au ukamtumia ujumbe mzuri wa kumsifia kisha ukapotezea. Au ukampa zawadi na ukajifanya kama hamna lililotokea. Yaani, unaweza kufanya kila kitu bila ku-attach na feelings zozote na bado kikawa na impact. Utanusurika na mateso. Utaishi kwa amani.
Nasisitiza tena, siongelei SEX.