ha ha ha, kwel ulikua mfatiliaj yaan had wimbo wao una ukumbuka kwa lyricsO safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba"
O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba" O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba"
Na utu uzima huu nikiangalia hiyo movie bado machozi yanadondoka
Tulikua tunapenda kumuita mandela jamaa mwenye kiduku!! Nlikua sijua kama zinaitwa movie,"mkanda wa sarafina" VHS TAPE Kipindi hiyo,mkienda kuangalia kwenye ukumbi wa wafanyakazi wa kampuni la chai Mufindi hiyoUmenikumbusha mbali, yule mwenye kiduku alivyopigwa bastola akafa eti nilikua naumia nadhania nia kweli kafa

!! Mkipiga kelele tu mnafukuzwa watoto woteee


!!! Asante sana mleta uziSijakuelewa mkuu hebu tusaidie kufafanua unamaanisha nini
Hahaha, Kiswahili kipana kakaChini ya sakafu au juu ya sakafu mkuu?
Nlikua naumauma tu maneno kwenye kuimba huo wimbo, naomba tafasiri yake kaka.O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba"
O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba" O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba"
Na utu uzima huu nikiangalia hiyo movie bado machozi yanadondoka
Dah hapo sasa nimekuelewa maana kwa movie ilivyo hata sidhani kama mmatumbi kama mimi nilikuwa nahitaji kujua kingereza kiuelewa ,picha tu ilitosha kama ulivyosema hapo mwishoniKizungu mkuu! Hii movie nimeiangalia nikiwa St. Kayumba primary school...hatukuwa tukielewa maneno mengi tu ila picha zilitusaidia kuelewa wanasema nini!
Nlikua naumauma tu maneno kwenye kuimba huo wimbo, naomba tafasiri yake kaka.
Nilikua nafurahia kile kipande sarafina ameenda kwa wazungu mama yake anapofanyia kazi anaanza kufunguliia maji, anapanda kitandani na kutibua kila kitu!
Dah hapo sasa nimekuelewa maana kwa movie ilivyo hata sidhani kama mmatumbi kama mimi nilikuwa nahitaji kujua kingereza kiuelewa ,picha tu ilitosha kama ulivyosema hapo mwishoni
Mwanzoni mawazo yangu hayakuwa haya ya kutokujua kingereza nilidhani ulivyosema hivyo kuna codes zimefichwa natakiwa kuzi crack ikabidi niombe ufafanuzi pengine utanitoa tongotongo
Kein probleme Mkuu
Dunke schön