Shukrani sana kakaView attachment 440831 mkuu sina uhakika sana na hiyo translation ila walau itakupa mwanga walikuwa wanamaanisha nini
Sana mkuuMkuu na wewe ulikua unaumia alipokua anatunguliwa?
Hapo anajibishana na mama yake, RIP Miriam kama sikosei maana long time.If I get fired who is going to buy you school books?
Sarafina: School books are full of lies
At this rate you are going to end up like your father
Sarafina: I'd rather die like him than live like you!
[HASHTAG]#sad[/HASHTAG]
Ameolewa tena na mfanyabiashara amezaa nae twins jumla ana watoto watatu mmoja kwa lile jamaa mandevu aliloigiza nalo anajutia ndoa yake na bwana mindevu pia ana ugonjwa wa ngozi mikononi .Nimegoogle habari zake amekuwa mtu mzima wakati anaigiza alikuwa na miaka 15 tu.Hakuna mdau mwenye namba ya sarafina....maana niligombana na mtu wa karbu kwa kkumsifia yy.ila watani wetu wa jadi wana wivu hatari
Stars don't talk, history is so beautiful, Sarafinaaaaaaaa. My best movie.
Umenikumbusha mbali sana kuhusu trelaEnzi trela ni boziboziana,,,kama huna hela unaishia kucheki trela!