If you remember them say something.....

If you remember them say something.....

Wakati huo unaangalia sarafina na escape from sobibor lazima uwachukie makaburu
 
😀😀😀😀😀😀ha ha ha yan una kumbuka had salam mkuu...,
Moja kati ya movie nilizokuwa nazipenda na kunitoa machozi, lazima nikumbuke, na kale kawimbo ka leee lelele mama
 
Hivi yule mzee aliyekuwa anaigiza kumtongoza mwanafunzi Sarafina si ndio alifanya kweli behind the scene na kumuoa Sarafina!? Kama nipo sahihi hivi ndoa yao bado ipo na wamejaliwa watoto!!?
Waliisha achana.....walipata mtoto kama sikosei....
 
Zanzibar tv coloured zimeingia miaka ya 69,,,wakati Tanganyika miaka ya 88 baada ya mzee ruksa kuachia mipaka!! 74 RTD ikaanzishwa kabla ya hapo mwalimu J.K alikuwa anaenda Nairobi KBC!
Lakini mtu yeyote ukimwambia kuwa zanzibar TV walikuwa wanaangalia majumbani mwao tangu miaka ya 70 hawezi amini.
 
Wakati naangalia hii movie kwa mara ya kwanza sikuwa naelewa wanachosema...ni mpaka majuzi nilikuja kuiangalia tena ndo nikaelewa vyema!
 
Mimi nilikuwa naachs dirisha wazi makusudi,, bi mkubwa alikuwa hataki usumbufu!
 
O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba"

O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba" O safa, saphel' isizw' esimnyama O safa isizwe sabantsundu Anitshelen' inkokheli zethu zisilamulele kuloludaba"


Na utu uzima huu nikiangalia hiyo movie bado machozi yanadondoka
 
Back
Top Bottom