Kwanini?Mkuu nilikata tamaa na JF.
Kwanini?Mkuu nilikata tamaa na JF.
Hata eid umekula mwenyeweMimi pia. Nimepitwa na makala nyingi sana hapa kwa kukosekana kwako...
Sijui nikupe adhabu gani?? IST au VITZ??
Yani umeamua umuite kabisa?utanitetea akija?
Adhabu nyingine zina madhara... nami sipendi kukudhuruHata eid umekula mwenyewe
Umeshindwa hata kunichukua na mimi
Nipe adhabu yoyote tu,teh!
Wewe utaniacha?mbona hata wewe najidai kwa watu fulaniBabu unayejidai naye atakutetea.
Wewe utaniacha?mbona hata wewe najidai kwa watu fulani
Adhabu nyingine zina madhara... nami sipendi kukudhuru
HahahaSasa akiwepo babu mimi nakaa pembeni.
Akiwa hayupo ndiyo ile Mbwa akitoka Paka hutawala. Paka akitoka Panya hutawala.
Basi sawa mjukuu.... come this wayNajua huwezi kunidhuru babu yangu
Basi sawa mjukuu.... come this way
Uje without kabisa ili tusipoteze muda... sawa mama?Am coming dear babu
Hivi Don Clericuzio unamuona huyu mzee?Uje without kabisa ili tusipoteze muda... sawa mama?
Hivi Don Clericuzio unamuona huyu mzee?
I meant mada yenyewe ni utapeli mtupu. Ingieni kichwa kichwa ndiyo mtafahamu Nigeria 419 maana yake nini.Sio ujinga tena?
Nishakwambia huyo mzee achana naye, atakufundisha tabia mbaya. Hapo umeamini sasa.
Na mie namuona ila tatizo nampendaga 😔
Yakija kunitokea usiniache,nakutegemeaBasi endelea tu, yakikutokea ya kukutokea najua mzigo utaniangukia.
Yakija kunitokea usiniache,nakutegemea