If you are a single man answer these questions

If you are a single man answer these questions

Jamani wanaume wa dar mmeshindwa kabisa kusikiliza huyu mdada
I asked someone your and you are because i saw yesterday you are saying your and you are and then i figured that english is not use for you .
Sorry my dear for not write the correct answer.
 
Una tatizo la kushindwa kutofautisha, "your" na "you are".
Hayo ni maneno mawili tofauti ambayo kwa kuyatamka yanaweza Ku sound sawa lakini kwa kuyaandika lazima ujue kutofautisha maana hayana uhusiano kabisa.
Wa tz mnatabia ya kukosoaa sana hata kitu kidogo tu kwani hujaelewa au mpo kwenye mashindano ya kuandika na kuumba maneno yaan hata nukta tu ikikaa pasipopaswa mnasema. Sasa wewe uliyeelewa your na hiyo are hiyo post yako na wewe ungeielezea kwa kingeleza mwenzio si ameandika kwa kingeleza kosoa kwa kingeeza chako na wewe
Naenda shamba nikiludi nikute kingeleza chako
20190512_133035.jpeg
 
Umejuajeee kuwa UMEAMBIWA NI BROKEN KIDHUNGU
Let me tell you something i dont understand Kiswahii So if you want to write something please write in English do not comment if you are writting Kiswahili.
Please please .
I do understand some people English is a big problem but try to write broken is better than left me in the darkness .
Do not fool me by writting Kiswahili please thanks.
 
Just write whatever you want too
We w'll understand it, even for misspelling we understanding due to next words or backs because some of us English is not our mother language. So don't feel bad keep it up.
Waje waniseme na mimi potelea mbali maana hata dalasa la saba sikufika na huo ndo ukweli wenyewe
 
form four bado hawajaenda tu huko advanc na vyuon au!//??

nauliza kama ndo hawa wanatusumbuA,.
 
Are you 34 years old and more ?
Have you ever be in America or Europe??
Why until now your single?
What are you looking for a Lady inorder to get married.
If you will get married by any chance will you be faithful to your wife???
How many ladies did you date them ?
Are you in a relationship and if your why dont you want to get married and settlè??
Have you cheated before give us your experience??
Do you love to sing ??
What are your hobbiess??
What do you do for a living??
Do you own something for your own if no why and if is yes what is it??
REPLY SINGLE MEN MEANS NO KIDS
SINGLE MEANS NO CHILDREN NO WIFE
Have you ever been NOT have you ever be.
 
Wa tz mnatabia ya kukosoaa sana hata kitu kidogo tu kwani hujaelewa au mpo kwenye mashindano ya kuandika na kuumba maneno yaan hata nukta tu ikikaa pasipopaswa mnasema. Sasa wewe uliyeelewa your na hiyo are hiyo post yako na wewe ungeielezea kwa kingeleza mwenzio si ameandika kwa kingeleza kosoa kwa kingeeza chako na wewe
Naenda shamba nikiludi nikute kingeleza chakoView attachment 1121284

Hivi kuchanganya "your" na you are ni kitu kidogo? tatizo la watu msiojua hampendi kufundishwa mnataka mbaki na ujinga tuu.
Ona ulivyoandika
Kingeleza=kingereza
Nikiludi =nikirudi.
Au napaswa nikurekebishe kwa kutumia lugha uliyoitumia wewe.
 
Just write whatever you want too
We w'll understand it, even for misspelling we understanding due to next words or backs because some of us English is not our mother language. So don't feel bad keep it up.
Waje waniseme na mimi potelea mbali maana hata dalasa la saba sikufika na huo ndo ukweli wenyewe

Too=to
We w'll = We'll
Dalasa= darasa.
Ni kweli haujafika darasa la saba. Nimekurekebisha na wewe ukitaka lia.
 
Back in the days, I dance masikioni namsikiliza j.Cole "wet dreams" na rap mwenywe... Ghafla kwa jazba namsikia janja "niggah dontyu sing if can't spell DAT shit ryt" na bana asee inaboa kichizi kujifanya hujui kiswahili Na kingereza cha kuandika shida.
 
Back
Top Bottom