If wishing could make things happen, then even the most destitute people would have everything they wanted
If ifs and buts were candy and nuts we would have a merry Christmas
Usitegemee kumpata MUME bora kama wewe mwenyewe sio MKE bora aisee........
Mtu kuwa na sifa za mume/mke bora haiguarantee kupata mwenye sifa za ubora kama yeye, kwa jamii ya ktz mfano wakiume wengi hawana sifa za mume bora wengi ni wanaume libolo tu
Stephen King wrote -"you can, you should, and if you're brave enough to start, you will."
nenda angazawanasemaga a hiv free generation it begins with you..kwaio ni kwamba changes ulete mwenyewe at the very beginning kabisa
mke /mume mwema ni yule ambae utajikuta tu mnaweza kuishi pamoja malengo yenu yakiwa mamoja kwa upendo katika safari yenu ya hapa duniani.hebu nifafanulie utumiaji wako wa mume bora katika sentensi yako.
Na pia nipe ufafafnuzi wa mke asiye mwema?
umesema kweli kaka ,kuna watu wapo too demanding while wao wana weakness kibao
kuna wakaka wanafunga na kuomba OOOH mungu ulisema mke mwema anatoka kwako..lakini kila siku wapo guest namijimama.
NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA!
KAMA WEWE NI BUNDI TARAJIA KURUKA NA BUNDI MWENZAKO,KAMWE BUNDI HAWEZI KUONGOZANA NA NJIWA!
teh thax kwa compliment kakasmile ..na wewe asante kwa kunogesha mnakasha...nimependa maneno yako...like as i said kila mtu ana stake ya kufanikisha ndoto zake...hapa babu dark city nadhani anajua. Kudhani kuwa wewe unastahili kupata kilicho bora wakati wewe mwenyewe hujitengenezi kuwa bora ni kutia maji kwenye tenga tu ukidhani utalijaza. Eti walimu wangu gfsonwin na snowhite ..ni kweli kuwa na nyinyi huwa hamfanyi bidii kufikia malengo yenu??..are you the wishers??
soma post yangu ya 19 kakaIla tukubaliane kwamba mtu anaweza kubadilika kutokana na sehemu alipofikia. Hapa tunahusisha katika mabadiliko ya tabia, mke/mume anaweza kumbadilisha mwenzake na kumfanya kuwa mtu bora kabisa.