Kambonna
Senior Member
- Apr 20, 2015
- 175
- 69
luckyline
Aisee huo ni mtazamo wako dada.Njaa ya mtu ni kitu personal,hata uwe BOT lakini kama u cnt manage ur finances properly u just gonna end up like na hizo njaa unazosema.Mimi niko hapa,nna maisha mazuri tu ambayo najua wengi tu humu hawana.Nngekuwa na njia sahihi ya kuthibitisha hilo ningefanya,ila kwa sasa..Endelea na imani yako!
Naanza kuamini wanayocoment hapa may be ur just still a little bud.
Last edited by a moderator: