If this is you, Come pls, Someone is waiting

Avenger = @mbwamzee....!
Kazi ipo!!
 
Last edited by a moderator:
Your writting style says it all huh...UE njema buddy!

shame on u...na multiple id's zako! jimbwaa mzee UE nilishasahau kitambo..ukimaliza kujitolea hapo bank waombe wakupe ajira kabsa..usije kufwaa kwa stress za mtaan mtoto...
 
mbwamzee tell me about u'r bank account, i want to know u'r current balance........... haijalishi unafanya kazi wapi hata bank kuna wapishi, wafagiaji n.k hahahahaha!!!!!!! tupia bank statement ili nijitathimini kama nitakung'ang'ania au nitakuacha upite.
View attachment 263141

Hahahahahahahaha hiyo picha mi hoiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
wee acha tu wakaka wa benk wana njaa sijawai ona sijui ni kwakua wanakopa vile vigari vidogo sijui vinaitwaje? Loh kama una mkaka wa benk kimbia kinachowasaidia ni kiyoyozi cha ndani wangekuwa wamepauka mbaya. Kama nadanganya mkaka yeyote wa benk aje hapa anipinge with strong point. Ntampa zawadi ambayo hataisahau maishan. Shida yao nyingine ntaisema kesho!

huhuuuu looo imetulia hii nangojea kesho mpendwa usiache kunijuza ntakuwa napitia hii thread
 
wee acha tu wakaka wa benk wana njaa sijawai ona sijui ni kwakua wanakopa vile vigari vidogo sijui vinaitwaje? Loh kama una mkaka wa benk kimbia kinachowasaidia ni kiyoyozi cha ndani wangekuwa wamepauka mbaya. Kama nadanganya mkaka yeyote wa benk aje hapa anipinge with strong point. Ntampa zawadi ambayo hataisahau maishan. Shida yao nyingine ntaisema kesho!

luckyline
Aisee huo ni mtazamo wako dada.Njaa ya mtu ni kitu personal,hata uwe BOT lakini kama u cnt manage ur finances properly u just gonna end up like na hizo njaa unazosema.Mimi niko hapa,nna maisha mazuri tu ambayo najua wengi tu humu hawana.Nngekuwa na njia sahihi ya kuthibitisha hilo ningefanya,ila kwa sasa..Endelea na imani yako!
 
Mimi hapa! I'm ready to prove u wrong..
 
luckyline
Aisee huo ni mtazamo wako dada.Njaa ya mtu ni kitu personal,hata uwe BOT lakini kama u cnt manage ur finances properly u just gonna end up like na hizo njaa unazosema.Mimi niko hapa,nna maisha mazuri tu ambayo najua wengi tu humu hawana.Nngekuwa na njia sahihi ya kuthibitisha hilo ningefanya,ila kwa sasa..Endelea na imani yako!

ahaaaaaa mku nilijua hakuna wa kunipinga loh nilikuwa nimekusubiri sana mkuu ukuje hapa thibitisha lakini kwakuwa ndo ivo tena umeshindwa kujitetea kiume basi " thema dada umeshinda" ukweli wangu una exclude ma meneja. Mkuu rudi tena una nafasi ya kujitete ulikuwa unaelekea.

N:B mwanaume hujitetea kwa vitendo.
 
I don''t think it is a good idea for me to do whatchu forcing me to do.
I'mma just let you win this me while i grade up my score lines on my PM's..

Keep em flowing in ladies...
 
Back
Top Bottom