If this is you, Come pls, Someone is waiting

If this is you, Come pls, Someone is waiting

NMB nakuonaga!!...jina naweka kapuni ila msalimie madam mariam mwambie teacher frajenc na frank wanampa 'hi'
 
Kuna uzi uku uliwahi kusema kuwa vijana wa benk hasa wa kiume wanapendwa sasa kile nakiona hapa sicho nilichokitajia au macho yangu mabovu naomba nirudi baadae kidog
 
Am only 25..i see u tryna fit!

opps i see..ua jus last year graduate ayt?workin fo internship ayt?still mamaz boy ayt? still gheto boiz..only 25huh...all ze best old doggy doggy...jus kidn don take me seriously..#okbye
 
There is a difference between SUITE and SUIT....its 'suit you' mbwamzee
 
Last edited by a moderator:
Kuna uzi uku uliwahi kusema kuwa vijana wa benk hasa wa kiume wanapendwa sasa kile nakiona hapa sicho nilichokitajia au macho yangu mabovu naomba nirudi baadae kidog

Kupendwa kitu kimoja na personal goals ni kitu kingine!
 
opps i see..ua jus last year graduate ayt?workin fo internship ayt?still mamaz boy ayt? still gheto boiz..only 25huh...all ze best old doggy doggy...jus kidn don take me seriously..#okbye

Your writting style says it all huh...UE njema buddy!
 
I wanted to teach you something, but unfortunately i remembered this "you can't teach an old dog new hunting tricks"
 
except one qualification, then who else? Its me. Ahaaaaaaa loh Mbwamzee huna aja ya kutwambia unafanya kazi benk maana majanga ya wakaka wa benk in zaidi ya sheeeda But anyway kupitia tangazo hili trust me ntaleta ushuhuda hapa.

Famous bank? Nmb? Kenyatta? Ppf???? Loh umeniuwa.

majanga gani hayo mpendwa nini kiu ya kujua plz nipe habar
 
Majanga gani tena haya ID zimekuwaje tena??? alikuwa @mbwamzee sasa hivi Avenger loh!!!! kuumbuana huku khaa!!!
 
majanga gani hayo mpendwa nini kiu ya kujua plz nipe habar

wee acha tu wakaka wa benk wana njaa sijawai ona sijui ni kwakua wanakopa vile vigari vidogo sijui vinaitwaje? Loh kama una mkaka wa benk kimbia kinachowasaidia ni kiyoyozi cha ndani wangekuwa wamepauka mbaya. Kama nadanganya mkaka yeyote wa benk aje hapa anipinge with strong point. Ntampa zawadi ambayo hataisahau maishan. Shida yao nyingine ntaisema kesho!
 
Back
Top Bottom