Dah, ntawalaani ngugi WA thiong'o na chinua achebe siku zote. Saivi nisingekua nahangaika na ajira ya kipompi huku baraza LA sanaa View attachment 890577
Unaweza rusha hata vindege vidogo visogo navyo vina matotoz ya ukweli ... unaruka hata kwenda mbungani... unaweza jipa tumiaka twako tu tano.... uhandisi wa ndege ndio una mbwe mbwe nyingi sana ambao wenyewe sikuungi mkono