Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
- Thread starter
- #41
AminaThanks kwa ujumbe wako wa kutia moyo,mm ni miongoni mwa watu wanaopenda kukata tamaa ,lakini huwa napenda kupitia majalada mbalimbali ,na kusoma simulizi mbalimbali ,hii njia pia hunisaidia na kunipa nguvu nisikate tamaa,I appreciate that guy Nick ,mungu amjalie mafanikio zaidi