miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
ukikata tamaa huna tofauti na maiti
Amen, sijui amewaza nini huko nilipomuomba tuonane inbox. Asante sanaHuyu hana haja nawe, anakupa ushauri na kukuombea kwa majina yako ili Mungu akufungulie milango. Si vinginevyo.
Itika wito kataa neno.
Cc Elli
hata maiti haikati tamaaukikata tamaa huna tofauti na maiti
That's why I love hercomment zako tu Dada
kifupi ni KBHahaha
Thanks
Love you more K
huwa inafanyaje mamy baada ya kifo?hata maiti haikati tamaa
Okay nimekuelewa KBkifupi ni KB
Usikate tamaamimi nipo hapa na viungo vyangu vyote ila nimekosa mtu wa kunipenda na kunipa mtoto yaaani!
We hujawahi kukata tamaaKukata tamaa ni mwiko
Kiukweli sijawahi na kwa kila nifanyalo uwa naimani litatimia na matokeo chanyaWe hujawahi kukata tamaa
Vp we ushawai kukata tamaa?Kukata tamaa ni dhambi.
Hakika Mkuu.... Nimeliondoa lile jina letu ili usiudhike tena.Kukata tamaa ni dhambi.
Najarib kufikri kwenye comment hii napata shida/naumia moyo pengine ... Da! Jf ..anywaymimi nipo hapa na viungo vyangu vyote ila nimekosa mtu wa kunipenda na kunipa mtoto yaaani!
Hahah apo sawa.Hakika Mkuu.... Nimeliondoa lile jina letu ili usiudhike tena.
Kama binadamu napitia magumu mengi so lazima nikate tamaaVp we ushawai kukata tamaa?
Hahaaha!... Mpaka umetabasamu? Safi kabisa. Nimetambua nilikua nakuudhi kiasi gani Mkuu.Hahah apo sawa.