Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,294
- 4,513
Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Dhana yako kuhusu uwepo wa Mungu inachekesha na kusikitisha mno kwa pamoja.Mfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?
Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?
Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?
Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Mungu yupo ila kwenye miracles ukumbuke huyo huyo mungu kasema yeye yupo na shetani yupo hapa ndipo ulipo upumbavu wa waamini mungu karibu wote ....wao wanakubali kuwa mungu yupo ila akili zao zinakanusha uwepo wa shetani (kituko)....maana kama awakanushi uwepo wa shetani mbona wanafuata miujiza kuwa ni kielelezo cha mtakatifu je Muhammad akutenda miujiza yoyote je shetani yupo kwa sababu na kwa shauri gani ?je huyo mungu kamtaja sana shetani kwa wanadamu wamjue kama wanavyo mjua yeye kwa sababu gani ....Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Lakini, dini ni utapeli mtupuKwa sasa kuna vitu Viko juu ya uwezo wetu kuvifikiria na kuja na Conclusion sahihi.
Kwasababu Anything that science can't explain at the moment might appear as supernatural .
Binadamu aliyekufa mwaka 1900 akifufuliwa kipind hiki ataona Duniani kuna Supernatural nying coz uvumbuzi wa science na Technologia umekuwa.. na kwake anaweza sema sio kitu cha kawaida.
But does that makes us Supernatural?..
NB:
Hapo juu ni challenge tu.
mm ni Mkristo, nina amini Mungu yuko na Shetan yuko.
Ni bora niamin na kuishi this way alaf nimkose kuliko kuishi nikiamini hayuko alaf nimkute.
Na ukiomba kwa imani hii inaleta Matendo chanja... so Kila mmoja afuate iman yake ambayo inaleta matokeo.
Na Pia ningekuwa enzi za Mababu zetu ningeamin pia walichokuwa wanamini.
As Long as inaleta matokeo ukiomba.
hata hiki ulichoandika ni miujiza ya munguMfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?
Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?
Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?
Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Watu wakiombewa wanapona mfano Mtu Mwenye kichaa anapelekwa kwenye maombi na anapona kuna utabiri kutoka kwa manabii unafika kwa nabii fulani anakwambia kila kitu chako bila wewe kumwambia chochote those are miracles watu wanaomba wanapata walichokiomba those are miracles mtu aliyelogwa anakuwa salama.Mfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?
Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?
Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?
Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Hujawahi kutana na miracles mkuu impossible things are made to be possible through miracles.Miracle gani hizo ?
As I said.Watu wakiombewa wanapona mfano Mtu Mwenye kichaa anapelekwa kwenye maombi na anapona kuna utabiri kutoka kwa manabii unafika kwa nabii fulani anakwambia kila kitu chako bila wewe kumwambia chochote those are miracles watu wanaomba wanapata walichokiomba those are miracles mtu aliyelogwa anakuwa salama.
Ww ni mpumbavu ,Mwanadamu ameumbwa na Mwenyezimungu na akampa akili ya kufanya yote hayo unayoita ni Sayansi,Mfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?
Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?
Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?
Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Ni kweli mkuu ila dini imewafanya watu wasifikiri out of box na wengine imewapumbaza kabisa lakn existence ya mambo kama gravity, motion ni uthibitisho tosha Mungu yupo.As I said.
For now this Supernatural powers is beyond our thinking capabilities.
We believes its come From the one who has almighty powers. God...
Tuishi humo.
Dini itutapeli , itulaghai, na vyovyote vile ila inatusaidia kwenye maisha yetu.
Mkuu usijedumbukia kwenye laana ya wasomi uchwara kukufuru Mungu.Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Miracles ni kitu gani? tuanzie hapo? Je, wewe umewahi kupokea au kushuhudia a miracle?Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Kaka Mungu hapimwiMfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?
Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?
Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?
Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Kwa maelezo haya inaonyesha kwamba unaamini uwepo wa Mungu lakini inashangaza pale unapohoji watu wakifanya kazi.Dhana yako kuhusu uwepo Mungu inachekesha na kusikitisha mno kwa pamoja.
Unachodai ni kwamba uwepo wa Mungu umfanye mwanadamu awe idle - akae tu bila kufanya lolote?
Kwamba asilime, maana ni kazi - kazi ambayo Mungu hana budi kumfanyia mwanadamu aliyemuumba?
Kwamba asipike, maana Mungu anaweza kumtengea mezani chakula kilichokwishaandaliwa.
Kwamba ^asihangaike^ hata kutafuna chakula, maana Mungu anaweza kumpa mlo ulio tayari unaotakiwa mwilini.
Kwamba hata kusiwe na sababu ya kula, maana Mungu angeweza kumpa mwili tofauti usiohitaji chakula chochote.
Kimsingi unachodai ni kwamba Mungu hayupo kwa vile tu hakumuumba mwanadamu katika namna ile unayotaka wewe!
Wazo lako hili halina tofauti na kudai kwamba Mungu hayupo kwa vile tu silika aliyo nayo haiendani na fikra zako juu ya Mungu.
Yaani, ungependa kumwona ^mungu^ wa namna fulani, na kwa vile mungu wa namna yako hayupo, basi Mungu hayupo!
Umejuaje hapimwi?Kaka Mungu hapimwi