If everything was free for 10 minutes, what would you take?

NINGEHITAJI TU MILIONI 10 YA MTAJI.....
Kwa dakika moja kisha kwa dakika nane ningepiga pesa ya maana.......

kisha dakika moja iliyobaki ningerudisha milioni kumi za watu

baada ya hizo dk 10 kuisha nakuwa tajiri mkubwa tu bila madeni

na nyumba najenga hukuhuku kwetu kaskazini (joking)
 
Unarudisha ili iweje wakati ilikuwa ndani ya free?
 
Back
Top Bottom