If everything was free for 10 minutes, what would you take?

Hii ipo free, ni wewe tu kuamua
nilijaribu kuwa mbabe primary nkazipanga na darasa la 6 wakati npo la 2! nilpgwa nahc ckuachiwa ngeu ila kile kpgo kilinifanya kupunguza ndoto ya kuwa mbabe! nyingne iliyofuta kabisa nilmchokoza mp amevaa kiraia, wee zile ngumi ni zaidi ya mizinga 21 maumivu mwezi mzima, ila ntamlipa
 
aa879a67f789538be1e1700f3951a689.jpg

Nachukua hio apo
Kitu cha LMG hatareeeee
Unavaa mkanda unapita mtaani kutafuta chochote unachohitaji
 
ningeenda BOT na mifuko ya sandalusi kama kumi ivi, nikitoka hapo daaaah, nko juu kama Obama
 
Back
Top Bottom