IELTS 6.5 band vs TOEFL 80 Scores

IELTS 6.5 band vs TOEFL 80 Scores

Gooodwin

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
78
Reaction score
66
IELTS 6.5 band vs TOEFL 80 Scores
Wadau ipi ni rahisi kuscore, uzoefu wenu please.

upload_2016-10-20_21-2-0.jpeg
 

Attachments

  • upload_2016-10-20_20-39-46.jpeg
    upload_2016-10-20_20-39-46.jpeg
    80.5 KB · Views: 117
Sijawahi kuufanya mmoja kati ya hizo lakini nasikia IELTS ni rahisi kuliko TOEFL.Nina mpango mwaka 2020 nitaufanya kwa ajili ya safari yangu ya Pili Ughaibuni.
 
Sifahamu jibu, naomba kuuliza utaratibu wa kufanya hiyo TEFL, na inafanyiwa wapi?
 
Mwenye kujua tafadhali utaratibu wa kufanya mtihani TOEFL,
 
Je certificate zake huwa zina expire? Mfano ukifanya Leo ukapass, utahitaji kufanya tena miaka mitano ijayo?
 
Je certificate zake huwa zina expire? Mfano ukifanya Leo ukapass, utahitaji kufanya tena miaka mitano ijayo?

IELTS huwa ni kila baada ya miaka 2 ina expire. Inabidi upige tena paper zao.
 
Back
Top Bottom