Hujui lolote kuhusu hii familia acha uongo...Idris hana umanga wowote,baba yake ni mswahili mweusi tii yuko zake Arusha na mama yake ni Mnyaturu wa Ikungi,Singida,na huko Arusha wala hawaishi Matejoo(Ofcoz Baba na Mama walishatengana kitambo,Idris amelelewa na mama zake wadogo wanaishi nyumba za NHC Ngarenaro nyuma ya Kanisa la TAG Calvery Temple)...huo weupe wa Idris ni wa kinyaturu, ndo rangi ya mama yake;ukitaka kuelewa zaidi mwangalie Mh.Chiku Galawa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya; - huyo ni mama yake mkubwa,wote ni weupe peee hawana umanga wowote;Au kama uko Arusha nenda Ilboru Lodge,mke wa Kanali Metili,owner wa Ilboru Lodge ni bibi yake,naye ni mweupe peee,usipofanikiwa kote huko nenda Singida,Ikungi kijiji cha Samumba uliza ukoo wa akina Galawa utawaona na baada ya hapo utaacha kudhani kuwa Idris ni Mmanga.Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Hujui lolote kuhusu hii familia acha uongo...Idris hana umanga wowote,baba yake ni mswahili mweusi tii yuko zake Arusha na mama yake ni Mnyaturu wa Ikungi,Singida,na huko Arusha wala hawaishi Matejoo(Ofcoz Baba na Mama walishatengana kitambo,Idris amelelewa na mama zake wadogo wanaishi nyumba za NHC Ngarenaro nyuma ya Kanisa la TAG Calvery Temple)...huo weupe wa Idris ni wa kinyaturu, ndo rangi ya mama yake;ukitaka kuelewa zaidi mwangalie Mh.Chiku Galawa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya; - huyo ni mama yake mkubwa,wote ni weupe peee hawana umanga wowote;Au kama uko Arusha nenda Ilboru Lodge,mke wa Kanali Metili,owner wa Ilboru Lodge ni bibi yake,naye ni mweupe peee,usipofanikiwa kote huko nenda Singida,Ikungi kijiji cha Samumba uliza ukoo wa akina Galawa utawaona na baada ya hapo utaacha kudhani kuwa Idris ni Mmanga.
Ha ha ha ataishia kuichora kwenye karatasiUsisahau kuwa alisema June mwaka huu anategemea kununua private jet
Mwisho alikua wa pili hivyo hakulipwa chochote kwenye BBA. Idris alilipwa maana alikuwa top. Huu ni ushindani tofauti kabisa. Msichanganye.hongera zake asije kuwa kama Mwisho mwampamba kaishiwa mpaka anagombana na nduguze muda mfupi baada ya kuondokewa na baba yake
CV yake unayoo mzee... Tz raha sanaaKaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Sawa dada yake Idris, afu mnafanana kweli aseeHela ya big brother nimemuwekea mimi mpk akikua ndio nitampatia.
Kuendesha kampuni sio mchezoKuajiri mchezo....
Kaishia kuwa CEO wa kampuni hewa
Mwanaume wa dar kwenye ubora wakoKaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Nani idris ?! Dogo kapiga mpaka form six pale mbezi high na kafaulu tu vizuri PCB ! Angeshindwa kwenda medicine muhimbili tu ! But vyo vyengine angechaguliwa. 2013 alikuwa jkt (kwa mujibu wa sheria) kule rwamkoma 822kj... Hajataka tu kuendelea na elimu but vigezo vyote anavyo !Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Ha ha ha huo uongo uliotukuka, hivi serious kabisa ulaya waagize lipstick huku lol
View attachment 338138
Ha ha ha Idris kanichosha usiku huu lol
Na wenye vyeti wenyewe ndio hao hawajui hata tofauti ya L na R au DHA na ZA.........utamsikia Mtangazaji anasema Mkoa wa Mala, Alusha, Luvuma...nani anataka kusikiliza huo utumbo hata kama una PHD ya utangazaji?utangazaji wa siku hz hauitaji Cheti ni ubunifu ndio kila kitu.
Madame huwa halishwi kwa kijiko ati...sharti utumie Sepetu.kanyonyolewa mpaka mabawa yamemwishia kabisa, chezea Madam weye.
Labda ulisahau kwamba Idris=Mpoki=Bambo=ZembwelaKumbe ilikua fix??? Mi nlijua ukweli....
Jana nimeona mtu anasema Idd hana nyumba, kile kigorofa chake vepe
Wakati nipo umri wa Idris nilikuwa nafanya mambo very stupid kuliko yeye! Kwa Africa mtoto wa miaka 21 apate 500 Million ni too burden for him! For the time being, hakuna kitu serious Idris alichofanya kumaliza 500 Million, so I hope huko kwao wapo watu wazima wenye busara ambao wapo kwenye invisible management hadi atakavyokuwa matured enough.Labda ila huyu nae akili zake kama za wema sepetu