Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,013 Apr 17, 2016 #181 brenda18 said: angenipa mimi hio hela nilimie tu mwee 500M si ningekuwa mbali mie.. Click to expand... mjini na kulima wapi na wapi sister?. huku tunafungua kampuni na kupiga selfie na story ofisini mpaka mtaji ukateee.
brenda18 said: angenipa mimi hio hela nilimie tu mwee 500M si ningekuwa mbali mie.. Click to expand... mjini na kulima wapi na wapi sister?. huku tunafungua kampuni na kupiga selfie na story ofisini mpaka mtaji ukateee.
Hiram Abiff JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 896 Reaction score 676 Apr 17, 2016 #182 Evelyn Salt said: Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi.... Click to expand... Mwenzie anaejiita bikira alikuwa anahubiria watu kila siku wasiajiriwe wajiajiri
Evelyn Salt said: Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi.... Click to expand... Mwenzie anaejiita bikira alikuwa anahubiria watu kila siku wasiajiriwe wajiajiri
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Apr 17, 2016 #183 Hiram Abiff said: Mwenzie anaejiita bikira alikuwa anahubiria watu kila siku wasiajiriwe wajiajiri Click to expand... Nae hajaajiriwa eeh
Hiram Abiff said: Mwenzie anaejiita bikira alikuwa anahubiria watu kila siku wasiajiriwe wajiajiri Click to expand... Nae hajaajiriwa eeh
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Apr 17, 2016 #184 We mtu yuko insta daily ana kwambia ajira cyo issue, wanakuwaga wazush ao
lady in red10 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 209 Reaction score 222 Apr 17, 2016 #185 mng'ato said: Na kile kithembe sijui atakua anatangazaje sasa? Click to expand... Na mm ndo nilikua nafikiria hivo hivo mhh sitaki kuongea mie ili kuvunja watu mioyo
mng'ato said: Na kile kithembe sijui atakua anatangazaje sasa? Click to expand... Na mm ndo nilikua nafikiria hivo hivo mhh sitaki kuongea mie ili kuvunja watu mioyo
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,135 Apr 17, 2016 #186 lady in red10 said: Na mm ndo nilikua nafikiria hivo hivo mhh sitaki kuongea mie ili kuvunja watu mioyo Click to expand... Hahaha ngoja tusubiri tuone Mkuu
lady in red10 said: Na mm ndo nilikua nafikiria hivo hivo mhh sitaki kuongea mie ili kuvunja watu mioyo Click to expand... Hahaha ngoja tusubiri tuone Mkuu
lady in red10 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 209 Reaction score 222 Apr 17, 2016 #187 Dinazarde said: Yale mautani yake atayahamishia kwenye radio ,ananiudhigi Click to expand... Halafu hachekeshi sasa ndo ubaya ulipo
Dinazarde said: Yale mautani yake atayahamishia kwenye radio ,ananiudhigi Click to expand... Halafu hachekeshi sasa ndo ubaya ulipo