Rashid ana tuhuma nyingi sana. Kwa kweli ni kwa vile amekuwa akilindwa sana alitakiwa awe anaozea segerea siku nyingi. Dili la Rada anahusika kwa kiasi kikubwa, kuifilisi NBC hadi ikabinafsishwa yeye ndiye mchongaji wake lakini badala yake akapewa ruksa na mzee mwinyi kwenda BOT. Huko nako alikwenda kuchapisha manoti tu. kutuka the highest denomination that time of 1,000/= note, akaingiza 2000, then 5000 na 10,000/=. huyu fisadi lazima aonje joto ya jiwe tu. Anahusika kwa Dowans, kuchukuwa mikopo ya kuboresha TANESCO na badala yake anakarabati nyumba na kujiuzia.