lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi
Macho yanatofautiana.....mimi nikiambiwa nitaje bongo movie wazuri (ninaowafahamu) nitaanza na Lulu....na mimi ku-assess uzuri wa mtu huwa situmii vigezo vya Lundenga
ki sura kwa kweli ni mzuri , lulu kaumbika , ila make ups na camera nzuri zinamfanya awe mrembo zaidi , pia kanajua sana kuvaa kale katoto, ila ukikaona live hayupo hvyo ni kafupi sana na sio mweupe hvyo
Yes, ndio maana hata kwenye mashindano ya umiss wanaangalia pia kigezo cha urefu, mwanamke kuwa mfupi sana haipendezi

ahaha , ivi Barbra ni mfupi eeh?? au ufupi kama wa salama jabir
lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi
Kama ata acha hayo mambo kwa muda akikua pata rejuvenate. Haya maumbile yanarudi utoto kama unapapumzisha...YES, lulu bado ni bint mdogo, umaarufu tu ndo umemkuza anaonekana mkubwa, bado mbichi sana ila sina uhakika uko chini kama patakuwa bado pabichi kama umri wake