SI KWELI IDO NETANYAHU, Ben-Gvir wameuawa na Iran

SI KWELI IDO NETANYAHU, Ben-Gvir wameuawa na Iran

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari

Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran

Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...

Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu

Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.

Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect

"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."

BBC claims he was "in a car accident."

Ritter: "His house is on fire. His car may have crashed into his house."
Screenshot_20260310-045607_Instagram Lite.jpg
20260310_044705.jpg
20260310_051323.jpg
images (25).jpg
 
Tunachokijua
Ido Netanyahu ni kaka wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Nentanyahu, Ido ni Daktari na mwandishi wa vitabu pia. Itmar Ben-Gvir ni waziri wa ulinzi wa Israel.

Madai

Machi 10, 2026 kumekuwa na taarifa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza kuwa kaka yake Waziri mkuu wa Israel, Ido Netanyahu amefariki pamoja na Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Itamar Ben-Gvir kwenye shambulizi lililofanyika kwa njia ya anga.

Uhalisia wa madai hayo

Ufuatiliaji umebaini kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa watu hao wameuawa katika shambulizi huko Tel Aviv.

Vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa taarifa hizo si za kweli na baadhi ya vanzo vinaonesh bado Ido na Ben-Gvir bado ni wazima na hawajafariki kama inavyoolezwa.

Taarifa hizo zimeambatana na video inayoonesha mlipuko unaodaiwa kuwa ndiyo uliotokea wakati watu mashambulizi hayo yanafanyika lakini video hiyo haihusiani na tukio hilo.

Video hiyo ni kutoka katika tukio la kuungua kwa nyumba baada ya moto kuzuka katika eneo la Galloway Township Februari 9, 2026, ambapo polisi walfika ili kuzima moto huo.
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari

Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran

Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...

Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu

Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.

Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect

"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."

BBC claims he was "in a car accident."

Ritter: "His house is on fire. His car may have crashed into his house."View attachment 3555752View attachment 3555753View attachment 3555754View attachment 3555755View attachment 3555756View attachment 3555757
Tatizo lenu mkila daku tu akili zenu zinafyatuka mnaanza kudanganyana na kubwabwaja ovyo kama watoto wadogo nilishawaambia waarabu/Waajemi au mfuga midevu yeyote hawana uwezo huo!!

Sishangai sana kwa waislamu wengi kuwa waongo waongo sana na hii inaonelana wazi dini yao ni ya watu waongo ingawaje wao uongo wao wanauita TAQIYYAH. Lakini uongo ni uongo tu
 
Kwa Nini usichangie hoja zako bila matusi,
Habari hii Mimi sijaitunga nimeisoma na kuisikia mahalim
Jitahidi kuficha ujinga wako,matusi hayana mwenyewe.
Kwa hiyo hapa JF umeona ni jalala la kutupia takataka? Acha ujinga fanya utafiti kwanza Kabila hujatuletea upuuzi wako hapa!!!
 
Unatukana nini bosi, mtu anayetukana hovyo hovyo huonekana kichwani hamnazo.
Jenga hoja iongee acha matusi...

Kwani tangu tar 2nd March Beit Aghion ilivyo pigwa bomu, umeshaona clip MPYA ya Netanyahu akitamba kwenye vyombo vya habari?
Israel wanapigwa sana tu na watu wake kwa sasa wengi wanaishi kwenye mahandaki; sema tu serikali yao hawataki mtu apige picha wala kurecord video; ukifanya hivyo una uwawa...ndio sababu habari zao ni za kuibia ibia...
Nikumbushe tena kuwa; Irani imeendelea sana kwa technologia na huwezi kuilinganisha hata kidogo na nchi nyingi tu za Ulaya. Mf; Urusi hutegemea sana Irani kwa kupata drone za kisasa za kivita
Huu ndiyo Ujinga mnaodanganyana kwenye Madrasa yenu??

Nimekuwekea video ya kuonyesha ilivyo Bomb shelter, jionee mwenyewe humo kuna kila kitu wala hakuna mtu anashinda humo bomu likipigwa kutoka Iran dakika 15 Wananchi wana taarifa wa wanaingia kwenye Bomb shelter ambalo wewe kwa ujinga wako unaita Handaki.

Si kweli mnaeneza uongo uliokuwa na maana Israel hakuna hukumu ya Kifo wa natarajia tu kuanza kunyonga magaidi waliovamia Israel Oct 07,2023 sasa unaposema ukipiga picha unauwawa wewe umeipata wapi? Au ulipofuturu tu habari hii ukaipata?

Hii habari ya kupiga picha baadhi ya sehemu wanakataza hata Iran huruhusiwi kupiga picha baadhi ya maeneo!!

Kakataza Israel Wafuga Midevu na Majini imekuwa wimbo Acheni ujinga huwezi kuipangia nchi Ina yotaka mbona hata hapa Oct 29,2025 watu walikuwa kupiga na kusambaza picha? Hilo hulioni walipozuia wana wa Israel imekuwa Nongwa? Tumieni akili zenu vizuri.

Bahrain nao walishazuia upinzani wa picha maeneo yanayolengwa na Iran hilo hulioni? Acheni ujinga
 
Attachments

  • export_1772991197414.mov
    19 MB
Niliiona hii taarifa mchana wa jana kuhusu kifo cha ndugu yake Netanyahu ngoja waje Wayahudi wa Simiyu kitongoji cha Makanisani
Naona wairan vima wa akhera misikitini walishaanza kufurahi ila ndiyo hivyo tena jitihada hazishinda kudra
 
Back
Top Bottom