SI KWELI IDO NETANYAHU, Ben-Gvir wameuawa na Iran

SI KWELI IDO NETANYAHU, Ben-Gvir wameuawa na Iran

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari

Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran

Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...

Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu

Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.

Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect

"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."

BBC claims he was "in a car accident."

Ritter: "His house is on fire. His car may have crashed into his house."
Screenshot_20260310-045607_Instagram Lite.jpg
20260310_044705.jpg
20260310_051323.jpg
images (25).jpg
 
Tunachokijua
Ido Netanyahu ni kaka wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Nentanyahu, Ido ni Daktari na mwandishi wa vitabu pia. Itmar Ben-Gvir ni waziri wa ulinzi wa Israel.

Madai

Machi 10, 2026 kumekuwa na taarifa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza kuwa kaka yake Waziri mkuu wa Israel, Ido Netanyahu amefariki pamoja na Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Itamar Ben-Gvir kwenye shambulizi lililofanyika kwa njia ya anga.

Uhalisia wa madai hayo

Ufuatiliaji umebaini kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa watu hao wameuawa katika shambulizi huko Tel Aviv.

Vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa taarifa hizo si za kweli na baadhi ya vanzo vinaonesh bado Ido na Ben-Gvir bado ni wazima na hawajafariki kama inavyoolezwa.

Taarifa hizo zimeambatana na video inayoonesha mlipuko unaodaiwa kuwa ndiyo uliotokea wakati watu mashambulizi hayo yanafanyika lakini video hiyo haihusiani na tukio hilo.

Video hiyo ni kutoka katika tukio la kuungua kwa nyumba baada ya moto kuzuka katika eneo la Galloway Township Februari 9, 2026, ambapo polisi walfika ili kuzima moto huo.
Israel na ndugu yake USA wametafuta matatizo ambayo wangetatua mezani naona sijui dhima ya vita ni nini wakati madhara yake yalijukana na hao Iran hata afe kiongozi wao wanachagua mwingine mpaka wote waishe sio kama Venezuela nadhani Trump mambo ya huko walimpa taarifa sio sahihi hawezi kuwachagulia kiongozi Waajemi..
Hakuna cha kukaa mezani kutatua. Hapa ni kutimia kwa unabii kibiblia
 
Ai hamjajua tu ufanyaje kazi wake??! Huwa inakusanya taarifa ya kitu unachohitaji kutoka Google (blogs,websites nk) then wanasummurize wanakuja na majibu yao na kizuri zaid pale juu wanaandika sources ya informations zao,mfano hapa umeuliza kwa kiswahili kuhusu kifo cha jamaa AI ilichokifanya ikapitia sources zote na recent source yenye taarifa hii kwakiswahili ilikuwa ni jamiiforums wakasummarize na kufanyia validation wakakuta taarifa bado haijathibitishwa wakaja na majibu hayo
 
Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Bwa Benjamin Netanyahu imepigwa na kombora la Iran Leo tarehe 10 March 2026.

Inasemekana Kaka wa Benjamin amekufa ila hatma ya Waziri Mkuu mwenyewe hajulikani.
Haijafahamika kama alikua wapi kipindi nyumba inapigwa.

Iran walikua wamekusudia kumuua Ben.

Hata hivyo Kuna habari zinazosambaa kutoonekana kwa Waziri Mkuu kwa muda wa siku kadhaa toka vita ianze.

Wachunguzi wa mambo wanasema hakuna picha Mpya za PM wa Israel.

Ndani ya Isarel Kuna katazo la kupiga picha za madhara ya vita wala kutoka habari hivyo habari nyingi kutoka Israel ni za kificho sana.

Tuendelee kusubiri habari kamili muda utasema.
 
Wamuue tu,kaumiza watu wengi kwa sababu za kihuni tu,kwanza hawa wayaudi si ndiyo wapinga kristo? Si ndiyo waliombutua Yesu kristo?

‘Em ngoja kwanza niyarudie maandiko.
 
Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Bwa Benjamin Netanyahu imepigwa na kombora la Iran Leo tarehe 10 march 2026.
Inasemekana Kaka wa Benjamin amekufa,ila hatma ya Waziri Mkuu mwenyewe hajulikani.
Haijafahamika kama alikua wapi kipindi nyumba inapigwa.
Iran walikua wamekusudia kumuua Ben.
Hata hivyo Kuna habari zinazosambaa kutoonekana kwa Waziri Mkuu kwa muda wa siku kadhaa toka vita ianze.
Wachunguzi wa mambo wanasema hakuna picha Mpya za PM wa Israel.
Ndani ya Isarel Kuna katazo la kupiga picha za madhara ya vita wala kutoka habari hivyo habari nyingi kutoka Israel ni za kificho sana.
Tuendelee kusubiri habari kamili muda utasema.
Wajinga na wapumbavu kama wewe Endeleeni kusubiri UHARO kamili muda unaongea!!!!

Atakaye kuua PM wa Israel bado hajazaliwa kabisa Endeleeni tu kutoa ndoto za Mwendawazimu!!,,
 
Wamuue tu,kaumiza watu wengi kwa sababu za kihuni tu,kwanza hawa wayaudi si ndiyo wapinga kristo? Si ndiyo waliombutua Yesu kristo?

‘Em ngoja kwanza niyarudie maandiko.
Wewe ndiyo utakufa huyu PM wa Israel ataendelea kuwepo ili awanyooshe magaidi!!
 
Mbona hii habari ya kifo cha kaka wa Ben Netanyahu tumeambiwa ni UONGO tena POTOSHI. Nenda jamiiforums check. Mbona watu mnakuwa waongo hivi. Kubomoa nyumba ndiyo kazi pekee wanayoiweza Iran, wakati Mayahudi wanawabomoa makambare wa Irani.
 
Wajinga na wapumbavu kama wewe Endeleeni kusubiri UHARO kamili muda unaongea!!!!

Atakaye kuua PM wa Israel bado hajazaliwa kabisa Endeleeni tu kutoa ndoto za Mwendawazimu!!,,

Unatukana nini bosi, mtu anayetukana hovyo hovyo huonekana kichwani hamnazo.
Jenga hoja iongee acha matusi...

Kwani tangu tar 2nd March Beit Aghion ilivyo pigwa bomu, umeshaona clip MPYA ya Netanyahu akitamba kwenye vyombo vya habari?
Israel wanapigwa sana tu na watu wake kwa sasa wengi wanaishi kwenye mahandaki; sema tu serikali yao hawataki mtu apige picha wala kurecord video; ukifanya hivyo una uwawa...ndio sababu habari zao ni za kuibia ibia...
Nikumbushe tena kuwa; Irani imeendelea sana kwa technologia na huwezi kuilinganisha hata kidogo na nchi nyingi tu za Ulaya. Mf; Urusi hutegemea sana Irani kwa kupata drone za kisasa za kivita
 
Israel na ndugu yake USA wametafuta matatizo ambayo wangetatua mezani naona sijui dhima ya vita ni nini wakati madhara yake yalijukana na hao Iran hata afe kiongozi wao wanachagua mwingine mpaka wote waishe sio kama Venezuela nadhani Trump mambo ya huko walimpa taarifa sio sahihi hawezi kuwachagulia kiongozi Waajemi..
Walidhani Iran ni Libya au kule walipomnyongea Sadam Hussein Masikini Mzee wa Watu Yule. Dunia Imebadilika ni Mwendo wa KAMIKAZE
 
Niliiona hii taarifa mchana wa jana kuhusu kifo cha ndugu yake Netanyahu ngoja waje Wayahudi wa Simiyu kitongoji cha Makanisani
na we muiran wa buza kitongoji cha misikitini umefurahia sana shambulizi hilo
 
Hizi taarifa za kujifariji hazina mashiko, kumuua Nentanyau sio kama kuogolea kwenye mapipa ya pombe..!!

Myahudi anajua akifa na biashara imeisha hakuna mabikira 72
 
Wajinga na wapumbavu kama wewe Endeleeni kusubiri UHARO kamili muda unaongea!!!!

Atakaye kuua PM wa Israel bado hajazaliwa kabisa Endeleeni tu kutoa ndoto za Mwendawazimu!!,,
Kwa Nini usichangie hoja zako bila matusi,
Habari hii Mimi sijaitunga nimeisoma na kuisikia mahalim
Jitahidi kuficha ujinga wako,matusi hayana mwenyewe.
 
Back
Top Bottom