- Source #1
- View Source #1
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari
Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran
Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...
Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu
Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.
Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect
"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."
BBC claims he was "in a car accident."
Ritter: "His house is on fire. His car may have crashed into his house."

- Tunachokijua
- Ido Netanyahu ni kaka wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Nentanyahu, Ido ni Daktari na mwandishi wa vitabu pia. Itmar Ben-Gvir ni waziri wa ulinzi wa Israel.
Madai
Machi 10, 2026 kumekuwa na taarifa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza kuwa kaka yake Waziri mkuu wa Israel, Ido Netanyahu amefariki pamoja na Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Itamar Ben-Gvir kwenye shambulizi lililofanyika kwa njia ya anga.
Uhalisia wa madai hayo
Ufuatiliaji umebaini kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa watu hao wameuawa katika shambulizi huko Tel Aviv.
Vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa taarifa hizo si za kweli na baadhi ya vanzo vinaonesh bado Ido na Ben-Gvir bado ni wazima na hawajafariki kama inavyoolezwa.
Taarifa hizo zimeambatana na video inayoonesha mlipuko unaodaiwa kuwa ndiyo uliotokea wakati watu mashambulizi hayo yanafanyika lakini video hiyo haihusiani na tukio hilo.
Video hiyo ni kutoka katika tukio la kuungua kwa nyumba baada ya moto kuzuka katika eneo la Galloway Township Februari 9, 2026, ambapo polisi walfika ili kuzima moto huo.