Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wakuu kwa siku za karibuni nimekua nikipata shida sana kudownload video youtube na mitandao mingine kwa kutumia idm..mwanzo ilikua inafanya kazi vizuri sana ambapo nilipokua nacheza video yoyote ilikua idm inajitokeza ''download this video'' ila kwa siku za karibuni nikicheza video inatokea''download this audio'' au inakuja download this video ila nikidownload haichezi..nimejaribu kuitoa na kuiweka tena bado mambo yaleyale..nimejaribu ku format computer bado mambo yale yale..naombeni msaada tatizo liko wapi?
pia nimejaribu kuupgrade idm ila bado tatizo liko palepale
pia nimejaribu kuupgrade idm ila bado tatizo liko palepale