ideos smartphones zinapatikana

ideos smartphones zinapatikana

lola

Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
18
Reaction score
0
kwa wanao hitaji ideos smartphones, zinapatikana.
Tsh 180,000.
New and original.
To make your order ni pm.
 
Attachments

  • ideos-android-phone.jpg
    ideos-android-phone.jpg
    17.3 KB · Views: 67
Boss, kuna mdau alizileta hapa jamvini kwa 0.15ml lakini zikamdodea maana hata tigo wanagawa hizi simu bure lakini watu hawazichangamkii sijui kwanini!
 
Duuuh! Mkuu umempga dongo kwa kumzunguka! We noumer!
 
Tatizo la hizi cm ni charge. Tena kama unatumia internet, utatamani iwe kwenye umeme muda wote
 
Boss, kuna mdau alizileta hapa jamvini kwa 0.15ml lakini zikamdodea maana hata tigo wanagawa hizi simu bure lakini watu hawazichangamkii sijui kwanini!

Duuuh! Mkuu umempga dongo kwa kumzunguka! We noumer!
 
mi mtu akinipa 155kl nampa ideos kama hiyo tena ipo ktk exellent condition....
 
tigo 200000 wewe 250000!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom