Amsung galaxy mi nikupe laki 2, so kama umeridhika na hyo bei nipm 2fanye biashara.
ideos android 2.2 version, used ipo katika hali nzuri na haina tatizo la aina yoyote inapatikana kwa sh.80,000, na Samsung galaxy nexus mpya kabisa kwenye box lake kwa sh. 600,000.
Nna sh 350,000 for samsung galaxy nexus. Kama inalipa nipm tufanye biashara mkuu
pia kuna galaxy s1 fo laki4
Hiyo galaxy s1 ni mpya? Ni model gt i9000?
its new kwny box, imetumika kama kwa wiki moja for testing.
and model ni i9000
400,000 je ? Cash niambie upo wapi ! Hiyo nexus