IDDY AMIN Alimdhalilisha Mzee Kifimbo!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IDDY AMIN Alimdhalilisha Mzee Kifimbo!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by FuturePresident, Oct 1, 2011.

 1. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 2. I

  IWILL JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Idd was far way better than the punk we do have here . with little or no any proper education....he deserve to be ignorant like that. but watch this meat head we do have here, His education was funded from wakulima na wafanyakazi but nothing you can find from him....he driving this country in auto pilot....just rolling his balls at airport. nyerere ndiyo ametufikisha hapa na ideology zake za kupaste na kuprint.
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Idd Amin ni mwehu tu wa kumpuuza. Ndio maana alizikwa kama mzoga
   
 4. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,442
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Read again.. binadam yeyote akifa anatupwa shimoni kama wanyama wengine au mzoga kwani nani anayetunza maiti nyumbani au chumbani kwake? Kuweka mzoga wa binadamu kwenye sanda haimfanyi kuwa hatupwi kama paka,mbwa,kuku,ngombe etc bt it is because of selfishness ndo unajiona utupwi kama mizoga mingine.
  Amin was a hero and we are still proud of his ideology and drmz no matter what you think and believe in..he was barried like others also M7 attended the ceremony and whole military protocol were observed.
   
 5. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Alexism first go back to school and get ur pronounciation(sp) right pls!

  Second, no one in their right mind will call that dictator a HERO!!

  Third, ask the Ugandans themselves and atleast watch the last king of Scotland to gain the truth about him

  Fourth, come back with a pinch of evidence abt his heroic characters, Nyerere might have crossed the line with him, but that doesn't make him a hero...no sir

  He had a death camp , he killed most of his generals, he denied his citizens so many rights ...dictators like him should proceed to Satan with no pardon @ all
   
 6. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  and atleast watch the last king of Scotland to gain the truth about him-----------------HAHAHHHAHHHAHHHHTETETTTETTTTEETETETETETETEHAHAHAMHHAHHHHHAHMMMMMMMMMMMHHHHHHAHAHAHHHHHA --MOVIE
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  toa ujinga wako hapa kwani nyerere hakuwa dictator???ovyoo
   
 8. N

  Ndoano Senior Member

  #8
  Oct 2, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  inaonekana ushabrainwashed na western ideologies to the point mpaka unaaimini ile muvie iliyozinduliwa na rais wetu mstaafu.
   
 9. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yes movie
   
 10. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Asiyejua maana haambiwi maana
   
 11. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  kuna kitabu aliandika dada mmoja kutoka marekani nimekisahau jina kwa wakati huu .

  Huyu dada alimtembelea amin kule Uganda, na katika kitabu chake aliandika, mwanamke yeyote anayemtembelea Amin , huwa haondoki bure

  Lazima mzee achukue vitu vyake, na akimaliza kula mali mwanamke yule anawekwa muhuri kule chini ulioandikwa I.A yaani Idi Amin .

  Muhuri huu ni wa chuma kilichopigwa moto. Huyu dada ni mmoja kati ya hao waliopigwa muhuri huu .
   
 12. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  What the heck is "pronounciations"?
   
 13. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Whatever it means dude
   
 14. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati ni bora zaidi kutumia lugha ambayo tunaielewa, na haswa zaidi tunapokosoa wengine kwa kuwaambia warudi shule.

  Sasa hapa wa kurudi shule sijui ni yupi.
   
 15. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  wakati nikiwa masomoni kule juu , Nilikuwa na rafiki yangu mtu wa Mbeya .

  Kuna siku nilimwona akigombana na Mnigeria .

  Mnigeria alipoona anashindwa hoja akaanza kumwambia rafiki yangu hajui kiengereza .

  Mnyakyusa akampa maneno mazuri kwa kumwambia hii sio lugha yangu , wewe usijivunie lugha ya watu wengine .

  ukiniambia sijui Kiswahili itakuwa aibu kwangu lakini sio kiengereza lugha ya watu.

  Jivunie chako sio cha watu.

  Mnigeria alibakia kushangaa tu kwa aibu
   
 16. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nsiande you said it all ..and put everything where it belongs .. in right Place..

  OMG.. I cant*imagine*this is happening in this country .. A Hero ... My Good Lord *..!!!

  Remember the first pictures ..*going*in air when He*invaded*Kagera ...?*remember...what he did for women and*children*in our own country? ... A Hero ... *Whaaaattt???? ...A hero ... No no nooo .. this*isn't*happening!!

  Remember our*solders*Dying to get our country back ... Remember how all worked toward the Respect and Credibility of our Nation..

  I*knew as a nation we have*gone very low ...but not this depth... Idd Amin a Hero .. ???

  What is all this ... What has gone wrong with our nationality ... Cmon ..I Amin ...a hero ...????

  No I*dint*read this ..*Am not in this ...!! I*didn't*see this Post!

  God Bless Tanzania!!
   
 17. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  FuturePresident na Kiranja Mkuu,*

  Nimewasoma !!!

  Kwa Heshima na Umoja wa Taifa uliokuwepo wkati ule na Haswa kile walichoFanyiwa Watanzania wenzetu kule Kagera Ilikuwa Lazima hatua za HARAKA kabisa kuchukuliwa kurekebisha hali ile. Tulilalamika Umoja wa Afrika na hatimaye dunia nzima lakini hatukusikilizwa. Tulivunjiwa HESHIMA kama Taifa na jamii HURU.

  Mtu yeyote aliyekuwa Mtu mzima wakti huo NA AKILI TIMAMU .. aliingiwa na majonzi na simanzi kuu kupata taarifa na kubaini nini haswa watanzania wenzetu wamefanyiwa. Wanawake, watoto na wananchi kwa ujumla walidhalilishwa na kufanywa kama wanyama. Jambo ambalo halikuwa linakubalika kwenye jamii zote za kimataifa.

  Ndugu na jamaa ya wote waliohusika kwenye kadhia ile pamoja na aibu na majonzi waliyoyapata toka kwa dikteta yule ..walikuwa na hamu na nia ya kwlei kutaka kujua atapata adhabu gani ili iwe funzo na kama muongozo kwa mataifa mengine yanayodhamini UTU na UHURU wa mwanadamu.

  Baada ya Njia zote kushindikana ilibidi kwa ujasiri na USHUJAA mkubwa Taifa lilokuwa na Heshima na Misingi dhabiti ya UTU ..l kuingia vitani. Kutokana na tabia ya Idd Amini ilivyokuwa inafahaimka dunia nzima ... Tanznaia haikupta upinzani kutangaza vita dhidi yake.

  Kwa Watanzania wengi hii ni historia ya Uchugu na kumbukumbu amabayo taifa Hili haliwezi kusahau ..Ndio maana kuna kumbukumbu nyingi nchini kuonyesha hilo.

  MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI WOTE WALIOVAMIWA PALE KAGERA NA ASKARI WOTE MASGUJAA WALIOJITOLEA MUHANGA KUFIA UHURU, UTU NA HESHIMA YA TAIFA HILI

  Na*

  MUNGU AIBARIKI TANZANIA
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Chezo natanguliza heshima kwa Mtizamo wako,

  Kila mtizamo wa mtu ni vema ukaheshimiwa , lazima una sababu zako za kumuona Nyerere kuwa alikuwa Dikteta. Hilo mimi sioni kama lina tatizo kwani hata mimi nina mtizamo wangu. na watu wengine watakuwa na mitizamo yao na tutaiheshimu vile vile!

  Lakini sifikiri kuwa Kwa Nyerere kuwa Dikteta kunamfanya Idd Amini kuwa Shujaa wa kuishambulia ardhi ya Tanzania na kuwadhalilisha Watanzania huru na haki zao. Yeyote atakaye ivamaia nchi yetu ..kwa sababu yeyote ile hatuwezi kumuita shujaa huku akiua jamii ya Kitanzania.

  Ni heshima kubwa Tanzania iliweza kuchukua hatua kamilifu bila kubabaika na kumuadhibu NDULI IDD AMINI hadi nje ya mipaka yetu kwani ...ALIPASWA KUWAJIBISHWA KWA KIWANGO HICHO.

  Tuna waheshimu na kuwapa sifa za kweli kabisa wote waliojitolea kwa kila hali kufanikisha adhma ya KUMCHAPA IDD AMIN kwani hao NDIO MASHUJAA WA KWELI WA KUULINDA UHURU, HAKI, UTU NA UBINADAMU WA WATANZANIA NA MUNGU ATAWABARIKI KAMA ANAVOIBARIKI TANZANIA.
   
 19. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,631
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Amin ni lile lile tunalokumbana nalo Tanzania, DINI YAKE!
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nini ... ? hatujafikia mahali pa kutotambua kuwa Vita havina dini, askari waliofariki vitani walijitolea kutetea Utaifa na Utu wa mtanzania na utu hauna itikadi wala dini wala jinsia ... ila jambo pana zaidi ya linavyotaka kuoneshwa hapa.
   
Loading...