Iddi Simba kuhamia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
mbona cdm mnapenda kuzua uongo mlisema E L na wengine kibao wameomba kujiunga cdm, leo mmekuja na idd simba, uongo ni asili yenu, mnaendesha chama kwa uongo?
 

Tumieni muda mwingi kurekebisha kasoro mlizonazo ndani ya chama chenu kuliko kupoteza muda kuleta tetesi zisizo na tija.
 
Milele haitakaa itokee, milele tafuta habari nyingine.

Ingawa serikali ya mkweree inataka kumfunga IDD SIMBA kutokana na ufisadi alioufanya UDA, akihamia Chadema ndio watamfunga kwa muda mrefu sana!!
 
.
 

Not bad for asylum seeker from Burindi kuja Tanzania na kujiweka katikati ya utawala Tanzania

ukisikia hustler ndio huyo

sasa anauza na ardhi ya Tanzania bila wasi wasi
 

Naona mnafanya juhudi nyingi ku-divert attention ya mgomo wa madaktari + msitu pande na kuingiza matukio/mambo ya siasa. Nafikiri hili haliwezi kufanikiwa kwa sasa, serikali ijiandae tu kukabiliana na kashfa hii. Hata wasio na mpango wakuhama CCM wakihama, bado swala la Dr. Ulimboka na wenzake haliwezi kupita kama upepo.
 
huwezi kuacha utoto hata ukipewa ushauri wa kuacha?

Kama hupo makini hebu twambie kanisa kwenye hii mada liko wapi?
Naona ulivyo mwepei wa kukurupuka.....hebu punguza munkari na usome na kuelewa nn kimeandikwa. Hoja iliyopo ni Idd Simba kuhamia CDM. Wapo wanaoona hilo haliwezekani kwani yeye ni fisadi (au alikuwa). Nikahoji..... basi kwa maneno mengine kwa vile neno kanisa linakuudhi mno..... mharifu akiacha uharifu akaamua kumfuata Mungu, dini zimkatae? Kama akili yako haitaelewa na hili, basi sina jinsi.
 

III. ADEN RAGE..ana tatizo gani, au we YANGA, sasa unaleta chuki binafsi, au we mdini!
 


Idd Simba amekwisha kisiasa. Hata akihamia CHADEMA hatutegemei kama atakuwa na la maana. Hata hivyo sio vema kumpa nafasi ya kumjadili kama vile ni wa maana sana. Mwache augulie na hilo aibu alilotundikwa na washirika wake ili kummaliza.
 
Hata asipohamia kama tuhuma ni za Kweli atalazimika kuyarudisha baada ya 2015 tu.Hana option.Hatakiwi kurudisha kwa Hisani.Na kama tuhuma ni za Kweli hastahili nafasi CHADEMA bali gerezani
 
Hii si ndiyo ile kampuni imeshirikiana na Agrisol ya Marekani kuwanyang'anya ardhi wale wakimbizi wa Burundi waliopewa uraia wa Tanzania kule Rukwa na kupewa mkataba wa eka 800,000 kwa shilingi 200 kwa eka kwa miaka 99?

Basically...
 
SI LAZIMA AKATALIWE PIA KAMA SABABU ZIPO ANAWEZA HAMIA JAPOKUWA SI RAHISI KWA MTU KAMA ID SIMBA NI MWOGA SANA ANAJUA KIAKACHOMKUTA MBELE YA SAFARI:director:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…