Idd Simba atetea posho za Wabunge

Babuk,
unamjua mbuge asiyechukua posho hata mmoja?

Specifically posho inayoongelewa hapa na iliyoongezwa kutoka 70,000/- to 200,000/- ni
sitting allowance (posho ya vikao). Baada ya utangulizi huo, ndiyo ninawafahamu wabunge
ambao hawachukui Siiting allowance to mention one Zitto Kabwe.

Lakini kuliangalia suala la sitting allowance in personal it is myopic kama Sitta na Mi-bunge
ya CCM inavyoliangalia. You have to look it in broader picture, mfumo unaohalilisha hizo
Siiting allowance, in black and white that is an Institutional corruption.

Mimi huwa ninachukia sana nyinyi magamba pale mnapokosa hoja mnaanza kuzi
personalize kama wewe. Simple minds discuss people. Na kwa akili hizi kufikia mwaka 2015
tutakuwa Taifa la kwanza kwa ombaomba yaani Iraq na Afghanistani watakuwa juu yetu
achilia mbali Somalia ambao hadi leo wako on top of Tanzania.
 
nimeamini kuwa watanzania wa leo si wakuwadanganya,kitendo cha wachangiaji wa hii post kukataa na kulaani kauli zinazotokana na mawazo mgando ya Idi Simba na wangine kimeonyesha ukomavu na uelewa wa hali ya juu,imefika mwisho sisi wananchi kufanywa mandondocha na ombaomba huku wao wakiwa miungu watu,hata mh Pinda ametukosea sana kusema eti huwa wabunge wanaombwa sana hivyo posho ziongezwe haya ni mawazo duni na ulevi wa madaraka tukatae kwa nguvu zetu zote
 
Specifically posho inayoongelewa hapa na iliyoongezwa kutoka 70,000/- to 200,000/- ni
sitting allowance (posho ya vikao). Baada ya utangulizi huo, ndiyo ninawafahamu wabunge
ambao hawachukui Siiting allowance to mention one Zitto Kabwe.

Lakini kuliangalia suala la sitting allowance in personal it is myopic kama Sitta na Mi-bunge
ya CCM inavyoliangalia. You have to look it in broader picture, mfumo unaohalilisha hizo
Siiting allowance, in black and white that is an Institutional corruption.

Mimi huwa ninachukia sana nyinyi magamba pale mnapokosa hoja mnaanza kuzi
personalize kama wewe. Simple minds discuss people. Na kwa akili hizi kufikia mwaka 2015
tutakuwa Taifa la kwanza kwa ombaomba yaani Iraq na Afghanistani watakuwa juu yetu
achilia mbali Somalia ambao hadi leo wako on top of Tanzania.
naona wewe u mpiga ramli mzuri umejuaje kuwa mie ni magamba. tuyaacha yaho wewe mfuasi wa kibwetele.turudi kwenye hoja. unaweza kunieleza kwanini mh. zitto ambaye wewe unamuona kama malaika alihongwa dola elfu kumi (usd 10000) na barrick na akazipeleka jimboni kwake kusaidia maendeleo ya jimbo lake na akajisifu kuwa ni mbunge mleta maendeleo?
 
Back
Top Bottom