"Ninachosema ni hivi, kwa mbunge wa kweli ambaye anasimamia maslahi ya wananchi wake, hizo fedha si nyingi. Kwa sababu mbunge makini anahitaji kutoa misaada, kuona malengo ya wapiga kura wake yametimia na mambo mengi angependa kufanya,
Nilipokuwa mbunge niliandamwa sana na wananchi na nilikuwa nawasaidia kila wanapohitaji msaada kutoka kwangu,"
Hii ni kauli ya Idd Simba.
Source: Mwananchi 20/12/2011
Hivi ni kweli hizi ndio kazi za Mbunge Jimboni kwake?

What the @#$###$$%!!!! Hivi ndio vichwa ambavyo vilikuwa vinaweza kufikiri? This kind of reasoning? So kwanini wanaomba hela za serikali kwenda kwenye majimbo yao kama wanazopewa nikwa ajili ya misaada ya wananchi? Hivi ni Mtanzania gani ambaye haombwi misaada na familia, ndugu au hata rafiki zake? So serikali ianze kutenga kwenye bajeti posho ya misaada ya familia? $%$## him!
Yaani, hawa watu hawajui wanachosema au ni sababu wanatuona sisi wananchi wapiga kura wao ni majuha?
Fisadi Iddi Simba anaongea Nini!