Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 708
- 293
Full ANDAS..leo nakula Gomba tu..!!
Inaonekana siku hizi mtu maisha yakimshinda anakimbilia siasa na CHADEMA ndiyo kichaka wanachoenda kujifichia.
Kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kutumia kura zetu tutawafurumusha wote kutoka huko kichakani ili wakafanye kazi taifa lisonge mbele.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tutasikia wengi nyie subirini muone.
njaa imempeleka kuhemea
wajanja wanahamia
njaa imempeleka kuhemea
Mkuu,
Mchizi ni M4C damu, umwambii kitu kwa M4C. Mbona several times ameshasema hadharani!!!
soka imemshinda ameamua kujaribu siasa, huko ndo anaenda kufa kabisa
Ndo vyama visivyopenda wasomi. Wamejaa form 4 na form 6 ndo Bonge la msomi ndani ya Chadema kwanini njaa Kali wasikimbilie. Kesho utasikia Mr Nice kajiunga Chadema
Yeye simba,akavae jezi za yanga za nini?
Ndo vyama
visivyopenda wasomi. Wamejaa form 4 na form 6 ndo Bonge la msomi ndani
ya Chadema kwanini njaa Kali wasikimbilie. Kesho utasikia Mr Nice
kajiunga Chadema