Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
Vipi umekuja kufanya mazoezi ya Kiswahili huku ?Vuta galulo lako juu futa kamasi ukwende!
Vipi umekuja kufanya mazoezi ya Kiswahili huku ?Vuta galulo lako juu futa kamasi ukwende!
Mkuu hili nina mashaka nalo linaweza kutokea mapema sana!
CCM wana mipango ya kijinga sana!
Teh teh teh, CCM watakuwa wamemwangalia CV yake na kugundua size yake ni CDM akaungane na SUGU, MNYIKA, LEMA na wengine ili wasaidie kupiga mayoe
Kwa wale mliozaliwa kizazi hiki cha JK hamfahamu Idd Pazi ni nani. Huyu mzee alikuwa anajaa golini na hafungiki kirahisi. Wachezaji nyota wa Sports Villa wa Uganda hawatamsahau mwaka 1992 walipofungwa na Simba 3-0 yakifungwa na Zamoyoni Mogella mawili na moja likifungwa na kocha mchezaji Hassan Affif. Mchezaji bora Afrika Majidu Musisi alipiga kiki kali 4 langoni mwa simba na kuokolewa na Father Idd Pazzi. Adam Semugabi, Robert Aloro, Paul Hasule, Jackson Mayanja walimnyooshea mikono Pazzi. Ukuta wa Simba uliongozwa na Jamhuri Kihwelu ''Julio'' Chadema wamepata jembe.
Mshikemshike ndege tunduni , sisi wajanja tumekimbia.....Juma Nature
Kamfuata Leodgar Tenga...
huko kwa hilo chama linalo ongwoza na viongozi wengi wenye ma-phd fake na wengine ya kutunukiwa wemelifanyia nini taifa kwa miaka 50?Ndo vyama visivyopenda wasomi. Wamejaa form 4 na form 6 ndo Bonge la msomi ndani ya Chadema kwanini njaa Kali wasikimbilie. Kesho utasikia Mr Nice kajiunga Chadema
umenikumbusha mbali sana katika enzi zileKwa wale mliozaliwa kizazi hiki cha JK hamfahamu Idd Pazi ni nani. Huyu mzee alikuwa anajaa golini na hafungiki kirahisi. Wachezaji nyota wa Sports Villa wa Uganda hawatamsahau mwaka 1992 walipofungwa na Simba 3-0 yakifungwa na Zamoyoni Mogella mawili na moja likifungwa na kocha mchezaji Hassan Affif. Mchezaji bora Afrika Majidu Musisi alipiga kiki kali 4 langoni mwa simba na kuokolewa na Father Idd Pazzi. Adam Semugabi, Robert Aloro, Paul Hasule, Jackson Mayanja walimnyooshea mikono Pazzi. Ukuta wa Simba uliongozwa na Jamhuri Kihwelu ''Julio'' Chadema wamepata jembe.
you don't know me!Mmefikia wapi na ule utaratibu wenu wa kutengeneza kadi za CHADEMA, alafu wakati wa ile mikutano yenu mnayowasumba watu kwa malori, mnazionyesha kwa mbwembwe za "tumevuna wanachama wa chadema"?