asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
kapige kazi kamanda
Kamfuata Leodgar Tenga...
Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa Idd Pazi "Father" amejiunga CHADEMA. Alisema CHADEMA ndio Chama pekee kinaweza kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.
Source: Tz Daima
Ukiona anaenda huko ujue kajipanga na anaweza kusimama kwa miguu yake. Big up
Huyu Iddy father Pazi mbona ana damu ya ccm? Huyu lazima atakuwa KANJANJA kama shibuda
Acha hizo ni utashi wa mtu, kwani tenga ni CHADEMA!
aisee good move.
Huyu jamaa jembe namshauri agombee Temeke 2015
Inaonekana siku hizi mtu maisha yakimshinda anakimbilia siasa na CHADEMA ndiyo kichaka wanachoenda kujifichia.
Kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kutumia kura zetu tutawafurumusha wote kutoka huko kichakani ili wakafanye kazi taifa lisonge mbele
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums