Idd mbaraka kwa wapendwa jf.

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
Nachukua nafasi hii kuwapa wapendwa wana JF,waislamu,wakristo,wanaume na wanawake,wazee na vijana,salamu za IDD.Kwa wote IDD njema na nawaombeeni mfurahi sikukuu hii wote kwa pamoja,tuonyeshe upendo na kujaaliana.Mwenyezi mungu atujalie na baraka tele.AMEEN.
 
Mina l'aidiin l'faaizin, ukiona kimya ujue fedha sina!!!!!!!!!!

Sherehekea Eid kwa usalama na amani.
 
Back
Top Bottom