Idd Amin Vs Nyerere

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
IDD Amin
[media]http://www.youtube.com/watch?v=LKByJp1Z04c&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=d7Tns9QKFV8[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=ZQ4pSsabnRA[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=r7JP3fGpzhs[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=ftAEOuQuqVI[/media]

Nyerere
[media]http://www.youtube.com/watch?v=BbyuNmCtOD8[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=XVo2V4P8JH0&feature=related[/media]

jitahidi kusikiliza yani inafurahisha sana
 
"Kissinger is not very intelligent".....ahahahahahaaa...this guy was hillarious!
 
Hivi huyu Amin duu anachekesha sana, Hivi mbona aalikuwa anatumia kiswahili sana? tofauti na waganda wengi.
 
Amin aliishi sana Tanzania wakati akiwa KAR, kwa hiyo sishangai kwake kuongea kiswahili sana. Vile vile sehemu kubwa ya NCOs wa kwanza kwanza wa jeshi la Uganda walifundishiwa Tanzania, na hao ndio baadaye walikuwa maofisa wa jeshi hilo. Baada ya kurudfi kwao waliendelea kutumia kiswahili kuendeshea mafunzo ya awali ya kijeshi waliyosimamia. Ilifikia kiasi kuwa kiswahili kilichukuliwa kama ndiyo lugha yao ya kijeshi.
 
Yeah...Amin was something else. Ukimsikiliza utacheka ile mbaya....

Mimi anachonifurahisha huyu jamaa yani anapenda vitu vya hatari hatari ,harafu yeye ndo yeye yani anataka hata wanyama wamsikilize na wengine wote ni vibonde kwake.
 
Amin aliishi sana Tanzania wakati akiwa KAR, kwa hiyo sishangai kwake kuongea kiswahili sana. Vile vile sehemu kubwa ya NCOs wa kwanza kwanza wa jeshi la Uganda walifundishiwa Tanzania, na hao ndio baadaye walikuwa maofisa wa jeshi hilo. Baada ya kurudfi kwao waliendelea kutumia kiswahili kuendeshea mafunzo ya awali ya kijeshi waliyosimamia. Ilifikia kiasi kuwa kiswahili kilichukuliwa kama ndiyo lugha yao ya kijeshi.

Nimekupata mkuu.Lakini huu ujasili alikuwepo nao na huko kujiamini navyo alivipata kutoka TZ nini? maana nasikia Mseven naye kapitia TZ
 
Inawezekana alipata confu hilo hapo bongo kweli. Niliwahi kuambiwa kuwa kuna wakati alikuwa kombania moja na Mayunga.

Museveni yeye alisoma pale chuo kikuu akiwa anaishi jumba linaloitwa siku hizi Hall 1: zamani hizo lilikuwa likiitwa London Hall. Hiyo ilikuwa ni miaka ya sabini ambapo vuguvugu la mapinduzi lilikuwa kali sana na UDSM ilikuwa na wanazuoni wa hali ya juu sana katika anga la mapinduzi kama akina Walter Rodney na wengineo.
 
Yeah...Amin was something else. Ukimsikiliza utacheka ile mbaya....
...Mkuu unajua kuna kipindi huyu jamaa(Idi)aliwahi kumtumia Mwl.Telegraph akimweleza ya kuwa ni bahati mbaya sana kwamba yeye(Mwl.) ni Mwanamume lasivyo angehakikisha anamuoa!!-ohh! what a joke!
 
Inawezekana alipata confu hilo hapo bongo kweli. Niliwahi kuambiwa kuwa kuna wakati alikuwa kombania moja na Mayunga.

Museveni yeye alisoma pale chuo kikuu akiwa anaishi jumba linaloitwa siku hizi Hall 1: zamani hizo lilikuwa likiitwa London Hall. Hiyo ilikuwa ni miaka ya sabini ambapo vuguvugu la mapinduzi lilikuwa kali sana na UDSM ilikuwa na wanazuoni wa hali ya juu sana katika anga la mapinduzi kama akina Walter Rodney na wengineo.

Kwahiyo kwa namna moja ama nyingine huko walikuwa wanapewa confu laajabu.
Ama ndiyo maana mafisadi wetu wanatufisadi lakini bado wana confu la hali ya juu.Sasa mbona wazee wetu waliopita huko wanatucheka sie kizazi kipya eti ili tupate confu lazima tupite huko?Sasa litatusaidia je?
 
Inawezekana alipata confu hilo hapo bongo kweli. Niliwahi kuambiwa kuwa kuna wakati alikuwa kombania moja na Mayunga.

Museveni yeye alisoma pale chuo kikuu akiwa anaishi jumba linaloitwa siku hizi Hall 1: zamani hizo lilikuwa likiitwa London Hall. Hiyo ilikuwa ni miaka ya sabini ambapo vuguvugu la mapinduzi lilikuwa kali sana na UDSM ilikuwa na wanazuoni wa hali ya juu sana katika anga la mapinduzi kama akina Walter Rodney na wengineo.
....Mkuu on that note nakumbuka kwa 'mama' Msikinya Hall III-out of bound for male students after 10 at Night!!!
-anyway ni kweli Mwl. aliwa-groom jamaa wengi Tz. Chissano,Kabila(senior),
M7
 
Mbona hizi ngoma zote zilikuwa hatari si ajabu nikasikia Mugabe pamoja na Xuma nao waliweka kambi Tz.
 
Umesahau kozi za "....ALAAM UNIVERSITY?"

Sawa Mkuu nimekubali ,Lakini tukirudi nyuma Mwl Imani yake ili feli ama ilifanya nini? ama Waumini hawakuwa wengi katika imani yake?Maana kuna kipindi sijui mtangazaji wa radio gani aliwahi kumwuliza hilo swali sasa yeye alimjibu kuwa Je Yesu naye alifeli kuhubiri injili? maana yeye alihubiri watu wasiuwane lakini leo wanauwana hata na yeye pia alikubwa,alihubiri watu wasichape ngono kabla ya ndoa lakini leo mhhh,alihubiri vitu vingi ambavyo karibu wengi hatuvifuati.
Sasa je? Dira ya Nyerere tuiangalie ktk mtazamo upi?
 
Alikuwa na akili sana.

His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular."

.....I dont think so!
 
....Mkuu on that note nakumbuka kwa 'mama' Msikinya Hall III-out of bound for male students after 10 at Night!!!
-anyway ni kweli Mwl. aliwa-groom jamaa wengi Tz. Chissano,Kabila(senior),
M7
...Kuna mtu aliwahi kuniambia hata marehemu John Garang alipitia bongo kuanzia secondary school kule Magamba sec Lushoto!!!!
 
Back
Top Bottom