Idd Amin atupa mabomu Kagera.

Jana nilikua nasoma gazeti la Mwananchi nadhani na leo linaendelea na masimulizi. Kitu ambacho kiko wazi ni kuwa kabla hata kombania iliokua huko kusini iliokua imeshajichaji kwenda Msumbiji kuanza safari ya kwenda Kagera, Idd Amin tayari alishavunja daraja la Kagera. Kwa akili ya kawaida tu Amin hakua na nia ya kuvamia na kuihodhi ardhi ya Tz bali alihofia uvamizi wa majeshi ya Nyerere.
 
propaganda za vita bana.Eti na ndege ilianguka kilomita 13. Kumbe Uhuru ni gazeti la propaganda kitambo?
 

Kwa hiyo kuvunja daraja la nchi jirani sio definition ya uvamizi?

Na anahofiaje uvamizi wakati ushasema concentration of force ilikuwa kusini, Uganda ipo kaskazini

Acha kutetea ujinga wewe
 
Idi Amin Dada alikuwa kabila la Kakwa kutoka Sudan
 

Yeah alikuwa na mpango wa kuanzisha kilimo cha maua Kagera...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…