Idara za afya muhusike

Idara za afya muhusike

mosieJ

Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Ukisafiri routes za makambako~songea~lindi to DSM kuna baadhi ya gari zina utaratibu mbovu kwel mda wa kuchimba Dawa abiria wanashushwa porini utasikia kiume mbele ya gari na kike nyuma ya gari watu wazima kwa sababu tuu wamebanwa hawana namna
Chamsingi vyoo vipo humo njiani sijui kwanini mantinki isifuatwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom