Idara ya utumishi Kigoma kuna tatizo

Idara ya utumishi Kigoma kuna tatizo

SUTAGI-

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
278
Reaction score
517
Mkurugenzi wa Manispaa Kigoma, Waziri husika na viongozi wengine wanaoweza kusaidia hili, fuatilieni Ofisi ya Utumishi Kgm kuna tatizo somewhere.

Wafanyakazi wananyanyaswa.

Wastaafu mafaili yao yanafichwa ili watoe chochote kwanza.

Kauli mbaya kwa Wahitaji wa huduma.

Ninaendelea kufanya utafiti then nitarudi hapa na nyaraka mbalimbali za kudhihirisha hayo.
 
Wastaafu mafaili ya nini wakati wanahitaji nyaraka walizonazo tu kwa ajili ya mafao yao.
 
Kikwazo cha utendaji alikuwa ameweka Godigodi mkurugenzi aliyetumbuliwa lakini hapo wako vizuri tuu
Kama unahisi umenyanyasika hebu onana na huyo Fubusa atarekebisha
 
Back
Top Bottom